Weekend Story! All is Fair in Love and War!

Weekend Story! All is Fair in Love and War!

Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!

Msione niko kimya mkajua ma story hakuna, yapooo teleee! Mambo ni hiviiiiii! Napata ma story nawakumbukaje wapendaa ubuyuuuu. Napata mastory matamu matamuuu!

Sababu tarehe 26 sio mbali wala nini, haina ubaya nikiandika one more story maana ndio ya sio inaweza kuwa ndio, ama sio kiundani. Tusikaushane uzazi tupate story kamili.

NB: Mda wa kuandika ni ado ado so ukija ukikuta sijaweka vungaaa kibingwa. Mwenyewe nipo kwenye harakati.

kama nilivosema watu wazima mjiongeze siku zimebakia chache.

Naanza leo leo usiku
Unajisumbua bure watz bado hatujawa na sababu ya kuandamana kumng'oa Hata m/kiti serikali za mtaa.Tanzania uraisikia na kuiona kwenye tv kaha.ba ww
 
Unajisumbua bure watz bado hatujawa na sababu ya kuandamana kumng'oa Hata m/kiti serikali za mtaa.Tanzania uraisikia na kuiona kwenye tv kaha.ba ww
Eti hata mwenyekiti wa serikali za mtaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Woyooooo lala moko z back gain

Stress ztaenda likizo.tupe vitu maa
 
Unajisumbua bure watz bado hatujawa na sababu ya kuandamana kumng'oa Hata m/kiti serikali za mtaa.Tanzania uraisikia na kuiona kwenye tv kaha.ba ww
Mkuu kwa nini unamtukana unajua umuhimu wa lara ww au
 
Back
Top Bottom