Weekend story: A Woman of the people

Swala la yeye kuja lilinitia hofuuuu sanaaaa! I really wanted us to work out! All my fears came back! Just like that! Ujasiri mpya nilio ujenga ukayeyuka ghaflaaa!

Shetani akaninyemeleaaaa upyaaaa Na kuchukua Godoro kunilala kichwaniii! Ananikumbusha HOW MANY TIMES DID YOU TRY YOUR BEST AND HOPED FOR THE BEST AND HOW DID IT END? Either way life facks us all! Aaaaarrrtghggg! Nikikaaa ananiambia The boy is too good for you and you know it! Aaaaarrrh! Nikikaaaa he will find out about your past sooner or later! Aaaaaarrrghhh! You are a looser WOTP playing smart! It will cost you! Take the money and run! Aaaaaarrrgghhh! When was it never about the money! It is always about the money! You will regret it! Aaaaaaarghhhh! Nikaagiza bangi kwanzaaaa nitulize akili!

Kitambooo sanaaa nilisha achaaaa! Ila mambo yalivurugika kichwani! Mwanangu ananiuliza hio nini namwambiaaa dawa Baba! Dawa ya kifuaaa! Ndugu yangu upande wa baba akasikia harufuuu akaja ! Nikamwambia najikumbushiaaa! Akasema nilidhani umebadilika! Kumbe you can from your past but you can’t hide! Vishatindinganyaaa! Nikampasia kijitiii apunguze kuchonga avute Moshi!

Najaribu kusali swala zooote! The devil was just running me mad! Nikakumbuka usimuamini mtu mwamini Mungu! Kidogooo nikapata nafuuu! Lakini bado tumbooo jotoooo! Kama imani yangu kuwekwa kwenye Moto huu ulikuwa wa Bunsen burner!

Siku hazigandi! Siku ya siku ikafikaaa! Naendaaa mdogooo! Namwambia Mungu nakuamini wewe! Baba wa Yatima! Unitete! Nimehitahidi kubadilikaaaaa! Nimejitahidiiiii! Nipiganieeeee! Nimefikaaa pale na kukaaaa!

Mara akashukaaa! Nikaona wazazi wake baba, mama, Na watu wa kwao! The looked rich! And judgy people! Wogaaa ukazidiiii! Waki Jua mbwa kachokaaaa mimi si wataniraruaaa vipande vipandeeee!

Nikakosa nguvu za kujongeaaa walipo! Nikabakia nimekaaa kama Zombiii! I wished pastor aniazime ujasiri wake kidogooo tu! Wapiii! Nikaonaaa anaangaza angazaaa kama kunitafutaaaaa! Nikakimbilia chooni! Nimekaaa chooni nusu saaa! Juu ya mifuniko wa choo!

Ikapiga simu namba mpya! Nikapokea! Ananiuliza Mbona sikuoniiii! Nikamwambia Nimeona upo na ndugu zako! Akakuliza kwa hio? Aaaaah mi naogopa bwana! Akasema njooo! Utaniuziiii! Nishawaambia unakujaaa! Tunakungojaaaa!

Nikaenda tumbo Lina earthquake! Nimefikaaa paleeee natetemekaaa kama mgonjwa wa kiharusi! Nasalimiaaaa! Akanikumbatiaaa mpaka akaninyanyuaaaa juuu! Oooooohhhh! Basi naonaaa hayaaaa! Wazeee waleee jamaniii ndugu msomajiii!

Basi tukatoka pale break ya kwanza kupata lunch! Hata ladha siskiiii! Najuuuta kujifahamuuu! Baadae tukaagana nikajuaaa anaenda kwao! Akaita tax nikajuaaa ana niitia! Nashangaaa anapakia bag na yeye ndani!

Jamaniii! Kwanza ndani mule kuna vipisi vya bangiiii! So nipo kwenye dozi ya anxiety! Pili sijaaandaaa mazingaraaa! Jamaniiii! Nikajipa moyo tunaenda hotel bwana! Ananiambia muelekeze nyumbani! Mtumeeeeee!

Nikamtext dada avitoeeee Na kutandikaaa! Nika relax! Jembe langu lile! Nikajua ishaishaaaa case hii! Nafika nakuta mlango umefungwa dada hayupooo! Napiga simu inaita ndani! Jirani kaniambia anakula kuleee! Mayoooooo! Hajafanya Yale makarateka! Nimekwishaaaa!

Bahati Kigiza kilikuwa kinaingiaaaa!! Akaja akafunguaaa! Nikamkaribisha mgeni! Nyumba ina vyumba vingi ila nilivipangishaga mapemaaa! Maisha yalivokuwa magumu! So vyumba ni 2 tu changu na cha dada!

Ma bag mazito kanifata mpaka chumbani kakiona kipisi live juu ya bedside! Na Mimi nikakiachaaaa! Nafanyajeee sasa! Ila alichangee! Jamaniiiii mapemaaaa nimeharibuuuu! Tukaoga na kuzaaa chumbaniii! Mwanangu nae uncle wake kaka angu ashajiongeza kuna shemeji na anajua mpwa wake analala Na mama ake anamwambia leo tunaenda kwa Bibi! Mtoto hatakiiiii! Anasema nalala na mama!

Hatokiiiii! Hatoiiii nafasiiii ! Mi toto hiii jamaniii! Bwana yule akakuliza swali la kwanza hii bangi ya nani? Nikamsoma akili zake zote ni ya mwanaume kaisahau! Nikawaza nikisema ya kaka anauliza chumbani kwangu inafanya nini? Nikisema ya dada ndo oves kabisaaa! Nikaza moyoo yanguuu! Akasema vutaaaa! Huu mtego kama sio master huwezi kuimiliki ipasavyo!

Nikaiwashaaa! Na kuipulizaaa baridaaaa! Akaingia mwanangu Mama ana vuta dawa ya kifuaaa! Fakeeereeeen! Kama shetani kuniwezaaaa kanimalizaaaa! Akasema so you abuse regularly infront of your son! What kind of mother are you? Mambo yalikuwa yanaenda kusiniiii kwa kasi! Akasema siwezi kulala hapa I can go to jail for this! Siweziiiii!

Shetani Na nafsiiii vyote vinanichekaaaa! Vinaniambiaaa we told you so! Nikatuliaaa pale navutaaa tu ule msubaaa kwa mdaaa! Sasa nifanyajeeee! Kama anaenda aendeeee tu! Nishaharibuuuu sawa Ila sio mwisho wa duniaaa!

Nae akawa amekaaaa! Akasema nipasieeee hiko kipisiiii! Aaaaaaaa! Kumbe mwanachamaaa! Tukawa tumekaaa wote! Tunalipulizaaaa! Ana lalamika itamchukua mda sanaa mpaka kipimo jiwe safi! Huko UN wanapimwa mara kwa mara!

Raha ya bangi ikikoleaaaa Na mizukaaa inapandaaaaaa! Kaanza kuvua nguooo na Mimi nikavuaaaa! Nifanyajeeeeee! Huku tunaendeleaaa kulipulizaaa dude la Jamaicaaa! Mechi kaliiiii sanaaaa ilipigwaaaa! Kaliiii sanaaaa! Ya kitamboooo hikoooo cha form 3b! Achana Na 🇯🇲!

Kustukaaa asubuhiiii saa 5! Aka toka nje anakaguaaa mazingiraaa yake! Anasalimiaaa majiraniiii! Jamaniii! Ana waambia yeye ndo mume wangu alikuwa nje! Majirani kama watu! Moyoni wanasema ungejuaaa tunayojua sisi ungekaaa kwa kutuliaaaa!

Tumekaaaa pale wiki nzimaaaa! Baadae akasema tuhamie kwenye appartement! Masaki! Huko kifupiiii nilitumikaaaa ipasavyoooo! What I liked about him he is straight forward! Simu hafichiii! Hata convoooo anaongeaaa mbele zako! Day 1 kanitambulisha kwa wazazi wake! Who does that? Alinivurugaaaaa vibayaaa mnooo! Na kwenye mechiiii yupo fit ! Ana upendo wa kweli! I didn’t have to try hard! Wala kutumia karata za ziada! Mambo yalikuwa easy going! Very easy going! Like Kama tumejuana Miaka 20 iliopita!

Kwao naendaaa kama kwetu! Naenda na mtoto hivoooo!Mama yake ananipigiaaa simu! Dada zake they are kind people! Tofautiiii nilivowafikriaaaa! Ikabaki wiki! Akaniambia anaenda kukaaa na ndugu zake! Kulikuwa na misa ya shukraniii Na mambo kama hayoooo! Nikamwambia ngoja nikupakieeee!

Katikaaaa kupakiii pakiiii nikaonaaa ana passport 2! Moja ya USA! Ya 2 Diplomatic! Mmmmhhhh! Not that I cared by now hata Angekuwa anapiga debe ningeenda kupiga nae! Ukitoa pesa kwenye picha he treated me n my son very nice! Alitupa thamani yetuuuu! Wale mbuziiii wengineeee walininyanyasa sanaaa!

Akaniachia home work tafuta biasharaaaa! Tufanye woteeee! Nataka ni set mambo kablaaa sijarudii au hujajaa kule! I don’t want you to work for those nasty people!

Nikajuaaa yupo serious! Nikawazaaaa biasharaaa kama 20! Zote anasemaaaa mtajiiii mdogooo! Competition kubwa! Too much work! Mpaka nikakataaaa tamaaa!

Siku moja nikawaza Microfinance! Nikamwambiaaaa! Akasema hio sawaaa! Sasa mtaji atakuwa nao! Maana kwa proposal niliokjwa nayo minimum ni 50m! Nikampaaa hivo hivo tu!

Akasema Sajili kampuni fungua account! Nikajaza mi paper work ile balaaaa! Nawaza sijuiii kweliii au uongoooo! Kampuni ya watu wawiliii! Tuk as ajili hio microfinance! Akatoa pesa hizooo $25,000! Sio nyingiii kwenu wasomajiiii kwangu ndo kila kituuu! Na majina yangu yapo Kama Owner! Jamaniiii! Jamani hata nikikosaaaa Ndoa kwa hili tuuu nimevunaaaa!

So mpaka sasa ndo naiendesha! Nimerudi shule kufanya CPA! Na Masters! I want to manage my shit properly! Sitakiii kumuangushaaaa kabisaaaa! Na anarudi soon akipata likizo kuna dalili za ubwabwa! All in all he is family now! Kwao wananijuaaaa! Kwetu wanamjuaaaa! Tunapendanaaa!

KWANINI NIMEANDIKA HII STORY YANGU HAPA! CAUSE NATAKA WANAWAKE WNEZANGU MJUE DESPITE WHAT HOPE IS THERE! MI NISHAKATA TAMAAA NA KUTUMIKAAA HUMU SANAAA!PEOPLE TREATED ME LIKE TRASH TO THE POINT I WAS FIGHTING TO BECOME BETTER TRASH! ILA MUNGU NI WETU SOTEEEE KANIPA MTU WA KINITIBUUU MAJERAHAAA YANGU, KUNIPA HOPE NA FUTURE!

BE INAPIRED BE MOTIVATED! KAMA KUNA VITU VINAKUFANYA UWE CHINI PAMBANA NAVYOOO! WANAUME NI WALE WALE WA JF WA MTAANI! TENA BORA WA HUMU! THERE MAYBE ONE FOR YOU!

THE END!
Huyu Lara yupo kweli. Ai korona imemkosakosa
 
KIZEE CHA SIASA!

Kama mjuavo mimi na siasa kushoto na kuliaaa! Kabisaaa! Kama mashariki ilivo mbali na mangaribiiiii! Sasa mtajiuliza hiko kizee cha siasa nimetoka nacho wapiiii?

Nawapa siriiii! Hakuna sehemu Ina madanga ya maana kama Siasa! Wabungeeee! Wabeba mabox! Ma CEO! Investors! You mention! Wote wapo kule!

After all kule competition ni very minimal next to non existing! It’s like the trophies are for the taking ! All you need is just a tiny bit wincy of a brain! And unluckily for you, you have none whatsoever! Tulia tu MMU na hawa misingi viuno wetu kina griffin

Mpaka hapa MOTP was tomenting me! Hanitakiiiii kabisaaa kabisaa wakati mi nampendaaa mwenzie badooo! Ila mtoto ana muhudumiaaa kama wakeee! Mpaka mda Mwingine nilikuwa najifikirisha mtoto wake! Akili za mchana!

Katika denial nilizo kuwa Na pitia, mara paaap! Ikaingiaaa Dm! Mambo mrembo! Nikapita nayooo tu! Nione mwishooo! Akajitambulishaaa! Ila mi mkubwaaa sanaaa kwakooo!

Nikamuuliza do we know each other? Akasema hapanaaa! Not all but...... nimekuwa recommended na KAKA KIIZA! !!!!!! Baaaasssss!!!!!

Alivosema tu KAKA KIIZAAAA! I knew it was serious business! I knew this was the real shit! Password ikafungukaaaa kabisaaaaa!

Hili soko la JF Lina dimensions zake na kama masoko mengine Lina madalali wake! Kuna madalali A class na madalali D class! Sasa kama unataka ma CEO, WABEBA BOX WALIOJICHANGA CHANGA VI DOLLA VYAO, WATU WA MAANA inshort KIIZA is there guy!

If you want to hit in the market and you want to hit big better get your self an agent kama KIIZA! He never disappoints! Japo anadai kastaaafu na hadeal tena hizi mambo! You never know! If you kind to him enough he will hook you up!

Of course KIIZA haku ni Hook up out of the blue! Nilikuwa nakunywa nae! Nikawa namlalamikia it’s tough out there! I’m ready to do anything! Absolutely anything nimpe mwanangu maisha! He didnt promise anything! Then boom PM!

Nikampokeaaa Baba shikamoooo! Mimi binti yako tunasaidianaje? Baba akasema mimi bwana I have everything to loose except cash wich I will loose gladly kama tukielewana! Ila KIIZA kaniambia you have a kid and no father yet you look stunning! Mimi kuwa baba sio tatizo kabisaaa!

Nina watoto wa nne! Na mke wangu nilimuoa na mtoto! So it’s fineeeee!!!!! Tena najuaaa umejuaaaa maishaaa, ushajua wanaume umetuliaaaa! I wanna spoil you! Ilaaaaaa! I’m very jelousyyyy!

Nikamwambia baba njoo whatsup! Acha kuwafaidishaaa modes! Whatsup baba kaja na kishindoooo cha mwana ukomeeee! Laki 5 paaap katumaaaaa!

Kama mnavojua mizeeee story zote siasaaaa! Mara TANU mara IDDI AMIN DADA! Mara Jeff Kennedy! Mambo ya Miaka 60! Nikasema au babuuu la Miaka 70 nini! Mmmmmh! Njaaa hizi! Naenda nalo sambamba kwa msaada wa google!

Zee Lina command na Oder mwanzo mwisho sijui zee la jeshi au vipiiii! Baadae likasema now I’m comfortable let’s meet! Ila Kabla ya yoteeee! Katuma 1 million get your self something decent to wear! No showing too much skin! Usije kama kimalaya malayaaaa!

Nikawazaaaa! Nikavaaa suit! SITAKI kumuuzi daddy wangu! Sehemu ya kukutana sasa Masaki, Happipola! Nimejikokiiii! Kama mtu! Nakuja kumuonaaaaa!!! Ayaaaaaaa! Junkie kabisaaa! Miaka 58 tuuuu! Afu yupo fit! He looks younger actually!

Akanambia yeye anafanya ikulu! We talked! Jamaniii shule nimeenda! Atleast! We talked! Akanipa 200,00 niende kwangu! Nikashukuruuu! Sijavuaaa nguooo na 200k nimepewaaaa! Nahama kambiii sahiviiii nahamia chama la wazeee ! TANU OYEEEEE!!!

Kesho nimesizi kwanguuu ana piga simuuu kuna watu wanakuja kwako kuna kazi nataka wanifanyieee! Nipo wakufanyie kivipiiii huku kwanguuu? Yupo tuliaaaa! Wanakuja hapo waelekeze!

Nikapigiwa simu! Zikaja mtu zina suit zimezama ndani zikaanza kufunga Cctv! Nikawauliza kwani Flani ni nani na anafanya Nini? Nikaambiwa utamuuliza mkiwa kitandaniii atakujibu vizuriii! Ila kuanzia sasa upo under surveillance! Hatukushauriiii udangeeeee!!!! Kudanga sahivi nje ya nyumba!

Usiku kaja ! Analalamikaaaa! Mbona unakaaa mazingiraaa mabovuuu hiviii! Ki andata cha mbwaaa hiki! Nikamwambia huu urithiiii! Wazazi wamenipinda wameniachiaaaa! Akasema hata kamaaaa! Siweiziii lala huku mimi! Nitakuwa na ku monitor tu kwa simu! 24hrs! Akaondoka! Ha kulala paleee!

Yaani mpaka hapooo nakogaaa pesa tu! Papà sijatoaaaa kabisaaaa! Akaniambia siku nikutumie nae gymcana ! Nikamkuta na wanae wa Kiume wa 2! Akanitambulisha mama enu mdogo! Wakanisalimia! Nikajipa moyo mama yao atakuwa kafaaa! Thubutuuuu! Dakika 10 nyingi mama yao kapiga simu!

Nilichomuelewa Mzee ni mkweliiii! Hasemi uongo bila sababu! Hata wanae si viwanaume vidogo kavichana live anajua vitahimili! Wananiaga bye aunty!

Hapo kidogo nimeanza kumzoeaaa! Nawmwita daddy! Nataka kumcomfuseeee! Nimpotezeeee kabisaaaa! Anapendaaaa hayooo mambo ya daddie! Mda wa kuondoka kama kawa 300,000!

Nikakak chini na Lara, akaniambia kwa anavo Kupa pesa na hataki mechi kuna tatizo zitooo mnooo la kiufundiiii! Lazima weakness yake Ipo kwenye game! Perhaps ashapoteza uwezooo wa mambo yetuuu! He just needs company! Nikasemaaa Mbona itakuwaaa pambeee sanaa! Nipo hapa companion wa kudumuuu!

Bwana weeee vilaki laki vyake vikawa vimenichoshaaaa! Kwanza nakaguliwa kwenye cameraaa24/7! Afu kwa lakiiii! Thubutuuuuuu! Nikapanga nimpige zinga kubwaaa kubwaaa!

Nikamwmabia Daddy nimepata eneo nataka nihame hukuuu! Uwanja Goba million 10! Akasema it’s good kumtafutia mwanao a nice home! Daddie nyieee ana roho ya peke yakeee! Akanipa million 5 kwa bank! Akaniambia 5 nitakupa cash! Nitakwambia pa kukutana!

Basi Daddy ananiambia ujue at my age siwezi kulala na mwanamke ghaflaaa tu hukawiiii kunikaba usikuuu! So I need you to come in my home, look my wife in the face, my family then ujue mimi ni mtu mzuriiii! I’m a family man! Hapo nitakuwa na amani kulala na wewe hutanikaba na mtooo!

Nikaenda Jumapili kuna barbecue kwakeee! Masakiiii! Nikakaa meza moja na mkewe na wanaeee! Pesa hiziiii! Kama mtu! Anamwambia huyu binti na msaidia ni kama mwanangu tu! Mkewe anasema mmmhhh unasaidiaga wazuriii wazuriiii tu! Wa barabarani huwaoniii? Binti usikose rahaaa! Namtaniaaa tu!

Kuna mda Mkewe kanikaba kwenye angle kwa hio wewe ndo msaidizi wangu sahiviii! Najibaraguzaaaa hapanaaaa! Hapanaaaa! Sio hivooo! Akasema aaah maisha mafupi sikufanyiiii ubaya kesho nimetanguliaa umekuwa no 1 ukumbuke Wema wangu kwa wanangu! Niko sawa mama! Maishaaa hayaaaa!

Ananiambiaa mkumbushe kumezaaa dawa, ana pressure ya kushukaaa! Na pombe kidogooo sanaaa! Na speed zenu kunakooo utakimaliziaaa hiki kizeeee! Niko Yes mom! Balaaa lilikuwa zito ndugu msomajiiii!

Kama kawa 300,000 zangu nikaondokaaaa! Tena Nishapata mkandaaa kizeee kama hikiii mechiii haikeshiiii kabisaaa kamoyo kashaanza kusuaaa suaaaaa! Naenda kuchukua million 5 fastaaaa! Kama natelezaaaaa!!!!

Akaniambiaaa ameona Serena panafaaa! Nimejikokiiiii! Nimepigaaa zote nyeupeeeee! Vizeee vya jandoooo hiviiii! Vina traditions sanaaaa! Unaweza VAA red akaghairi mechiii! Nimepiga na shanga zanguuu! Tena Niko makini kwa rangiii za shanga na maana zake! Traditions again!

Naondoka mwanangu ananiambia mama nileteee zawadiiii! Nikamwambiaaa ata baba! Utulieeeee! Naingiaaaa kazini kwa mbwembweee!

Tumekunywaaa kidogo! Tukazama rooom! Nikampa dawa zake kabisaaa! Sitaki mada case mieeeee! Kwenye dressing table kuna bahashaaa Ina million 5 kabisaaa naionaaaa! Yaaani ni ndani ya dakika 0 ILE million 5 inabadilisha ownership! I nearly screamed!

Nikaanza kumi andata Daddie! Kama nilivowaambia traditions! Bwanaaaaaa bwnaaaaa! Kwenye kumuandaaa ila namvuaaa boxerrr naionaaa mashineeee! ANACONDA! Tena yule mzeee! Hamo akasomeeeee! Mjubileng huu hapaaa!

Wasomaji mimi ni mdogo mdogooo! Mfupi afu mwembamba ule MJUBILENG napambana nao vipiiii? Si natenguliwa kizaziiii!!! Tobaaaaa! Nawazaaaa sijui nikimbieeeee! Machoziiii ya anilengaaaaa! Nikiwaza million 5 pale kwenye mezaaa najitiaaa moyoooo! You can do this! You can do this! Dakika zako 15 umetoka na bahashaaa! Don’t be pussy! Pambana na mjubileng uleeee pesa yenyewe ya maana!

Yaani ule mjubileng unataka mahesabuuuu makaliiii sanaaa! Na kama hujapitaaa mkoleniii lazima sehemu zako za Siri ziharibiwerr vibayaaa sanaaa! Unaweza pata fistulaaaa! Hahahahaa! Weeeeeeee! Nikawaza wote unizamee aaahhh thubutuuuuu! Ndo maana alikuwa ananimwagia helaaaaaa! Anajuaaa ulemavu wa papà atao niachia!

Uzuri nilibeba mafuta ya olive oil nimfanyie massage daddie vizeee vinapendaaa sanaaa! Nikayakumbukaaa! Nikamwambiaaa daddie Ngoja nikufanyie massage ya mjubileng!!! Akakubaliii! Mafutaaa kama yoteeee!

Nikaonaaa ana enjoyyyy! Kama anakujaaa! Nikasema sifanyiiii makosaaa! Napitaaa naeee round hiii moja mojaaa! Nikakumbuka kungwi alikuwa anasisitiza ku master style ya kuchuchumaaa miguuu ndo ikusupport! Sikuwahi kujua umuhimu wake!

Manake ukisema yake juu kwa kupigaaa goti, Ali kushuka kiuno mtu mwenyewe wa gym anakushusha kwenye mashine wima wimaaaa! Huna bahatiii!

Nimedandiaaa kwa style kama naruka churaaa! Nimeikaliaaa robo na support ya miguuu! Nimeenda nae kidogo tu nishamlegezaaa! Kajaribuuu kunishushaaa wapiii miguuu ime support! Nimekwea mnazi juu kwa juuu wazungu haoooo! Nikarukaaa fastaaa!

Dada wa kazi nishampa code red! Akapiga simuuu shangazi kaja anauliza Mbona Huru di! Nikajisemesha Niko njianiii! Nika kwapuaaaa lile bahashaaa! Motoooo! Sikuhesabuuuu!!!!

Babu ana nitexttt mtoto mtamuuuu sanaa ila umenipaaa kidogooo sanaaa! Nataka nije nikufaidiiii mzimaaaa mzimaaaaa!

WEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!

ITAENDELEA kesho!
Lara utaniua walahi...huyu mzee wa siasa sasa daaaah
 
Swala la yeye kuja lilinitia hofuuuu sanaaaa! I really wanted us to work out! All my fears came back! Just like that! Ujasiri mpya nilio ujenga ukayeyuka ghaflaaa!

Shetani akaninyemeleaaaa upyaaaa Na kuchukua Godoro kunilala kichwaniii! Ananikumbusha HOW MANY TIMES DID YOU TRY YOUR BEST AND HOPED FOR THE BEST AND HOW DID IT END? Either way life facks us all! Aaaaarrrtghggg! Nikikaaa ananiambia The boy is too good for you and you know it! Aaaaarrrh! Nikikaaaa he will find out about your past sooner or later! Aaaaaarrrghhh! You are a looser WOTP playing smart! It will cost you! Take the money and run! Aaaaaarrrgghhh! When was it never about the money! It is always about the money! You will regret it! Aaaaaaarghhhh! Nikaagiza bangi kwanzaaaa nitulize akili!

Kitambooo sanaaa nilisha achaaaa! Ila mambo yalivurugika kichwani! Mwanangu ananiuliza hio nini namwambiaaa dawa Baba! Dawa ya kifuaaa! Ndugu yangu upande wa baba akasikia harufuuu akaja ! Nikamwambia najikumbushiaaa! Akasema nilidhani umebadilika! Kumbe you can from your past but you can’t hide! Vishatindinganyaaa! Nikampasia kijitiii apunguze kuchonga avute Moshi!

Najaribu kusali swala zooote! The devil was just running me mad! Nikakumbuka usimuamini mtu mwamini Mungu! Kidogooo nikapata nafuuu! Lakini bado tumbooo jotoooo! Kama imani yangu kuwekwa kwenye Moto huu ulikuwa wa Bunsen burner!

Siku hazigandi! Siku ya siku ikafikaaa! Naendaaa mdogooo! Namwambia Mungu nakuamini wewe! Baba wa Yatima! Unitete! Nimehitahidi kubadilikaaaaa! Nimejitahidiiiii! Nipiganieeeee! Nimefikaaa pale na kukaaaa!

Mara akashukaaa! Nikaona wazazi wake baba, mama, Na watu wa kwao! The looked rich! And judgy people! Wogaaa ukazidiiii! Waki Jua mbwa kachokaaaa mimi si wataniraruaaa vipande vipandeeee!

Nikakosa nguvu za kujongeaaa walipo! Nikabakia nimekaaa kama Zombiii! I wished pastor aniazime ujasiri wake kidogooo tu! Wapiii! Nikaonaaa anaangaza angazaaa kama kunitafutaaaaa! Nikakimbilia chooni! Nimekaaa chooni nusu saaa! Juu ya mifuniko wa choo!

Ikapiga simu namba mpya! Nikapokea! Ananiuliza Mbona sikuoniiii! Nikamwambia Nimeona upo na ndugu zako! Akakuliza kwa hio? Aaaaah mi naogopa bwana! Akasema njooo! Utaniuziiii! Nishawaambia unakujaaa! Tunakungojaaaa!

Nikaenda tumbo Lina earthquake! Nimefikaaa paleeee natetemekaaa kama mgonjwa wa kiharusi! Nasalimiaaaa! Akanikumbatiaaa mpaka akaninyanyuaaaa juuu! Oooooohhhh! Basi naonaaa hayaaaa! Wazeee waleee jamaniii ndugu msomajiii!

Basi tukatoka pale break ya kwanza kupata lunch! Hata ladha siskiiii! Najuuuta kujifahamuuu! Baadae tukaagana nikajuaaa anaenda kwao! Akaita tax nikajuaaa ana niitia! Nashangaaa anapakia bag na yeye ndani!

Jamaniii! Kwanza ndani mule kuna vipisi vya bangiiii! So nipo kwenye dozi ya anxiety! Pili sijaaandaaa mazingaraaa! Jamaniiii! Nikajipa moyo tunaenda hotel bwana! Ananiambia muelekeze nyumbani! Mtumeeeeee!

Nikamtext dada avitoeeee Na kutandikaaa! Nika relax! Jembe langu lile! Nikajua ishaishaaaa case hii! Nafika nakuta mlango umefungwa dada hayupooo! Napiga simu inaita ndani! Jirani kaniambia anakula kuleee! Mayoooooo! Hajafanya Yale makarateka! Nimekwishaaaa!

Bahati Kigiza kilikuwa kinaingiaaaa!! Akaja akafunguaaa! Nikamkaribisha mgeni! Nyumba ina vyumba vingi ila nilivipangishaga mapemaaa! Maisha yalivokuwa magumu! So vyumba ni 2 tu changu na cha dada!

Ma bag mazito kanifata mpaka chumbani kakiona kipisi live juu ya bedside! Na Mimi nikakiachaaaa! Nafanyajeee sasa! Ila alichangee! Jamaniiiii mapemaaaa nimeharibuuuu! Tukaoga na kuzaaa chumbaniii! Mwanangu nae uncle wake kaka angu ashajiongeza kuna shemeji na anajua mpwa wake analala Na mama ake anamwambia leo tunaenda kwa Bibi! Mtoto hatakiiiii! Anasema nalala na mama!

Hatokiiiii! Hatoiiii nafasiiii ! Mi toto hiii jamaniii! Bwana yule akakuliza swali la kwanza hii bangi ya nani? Nikamsoma akili zake zote ni ya mwanaume kaisahau! Nikawaza nikisema ya kaka anauliza chumbani kwangu inafanya nini? Nikisema ya dada ndo oves kabisaaa! Nikaza moyoo yanguuu! Akasema vutaaaa! Huu mtego kama sio master huwezi kuimiliki ipasavyo!

Nikaiwashaaa! Na kuipulizaaa baridaaaa! Akaingia mwanangu Mama ana vuta dawa ya kifuaaa! Fakeeereeeen! Kama shetani kuniwezaaaa kanimalizaaaa! Akasema so you abuse regularly infront of your son! What kind of mother are you? Mambo yalikuwa yanaenda kusiniiii kwa kasi! Akasema siwezi kulala hapa I can go to jail for this! Siweziiiii!

Shetani Na nafsiiii vyote vinanichekaaaa! Vinaniambiaaa we told you so! Nikatuliaaa pale navutaaa tu ule msubaaa kwa mdaaa! Sasa nifanyajeeee! Kama anaenda aendeeee tu! Nishaharibuuuu sawa Ila sio mwisho wa duniaaa!

Nae akawa amekaaaa! Akasema nipasieeee hiko kipisiiii! Aaaaaaaa! Kumbe mwanachamaaa! Tukawa tumekaaa wote! Tunalipulizaaaa! Ana lalamika itamchukua mda sanaa mpaka kipimo jiwe safi! Huko UN wanapimwa mara kwa mara!

Raha ya bangi ikikoleaaaa Na mizukaaa inapandaaaaaa! Kaanza kuvua nguooo na Mimi nikavuaaaa! Nifanyajeeeeee! Huku tunaendeleaaa kulipulizaaa dude la Jamaicaaa! Mechi kaliiiii sanaaaa ilipigwaaaa! Kaliiii sanaaaa! Ya kitamboooo hikoooo cha form 3b! Achana Na !

Kustukaaa asubuhiiii saa 5! Aka toka nje anakaguaaa mazingiraaa yake! Anasalimiaaa majiraniiii! Jamaniii! Ana waambia yeye ndo mume wangu alikuwa nje! Majirani kama watu! Moyoni wanasema ungejuaaa tunayojua sisi ungekaaa kwa kutuliaaaa!

Tumekaaaa pale wiki nzimaaaa! Baadae akasema tuhamie kwenye appartement! Masaki! Huko kifupiiii nilitumikaaaa ipasavyoooo! What I liked about him he is straight forward! Simu hafichiii! Hata convoooo anaongeaaa mbele zako! Day 1 kanitambulisha kwa wazazi wake! Who does that? Alinivurugaaaaa vibayaaa mnooo! Na kwenye mechiiii yupo fit ! Ana upendo wa kweli! I didn’t have to try hard! Wala kutumia karata za ziada! Mambo yalikuwa easy going! Very easy going! Like Kama tumejuana Miaka 20 iliopita!

Kwao naendaaa kama kwetu! Naenda na mtoto hivoooo!Mama yake ananipigiaaa simu! Dada zake they are kind people! Tofautiiii nilivowafikriaaaa! Ikabaki wiki! Akaniambia anaenda kukaaa na ndugu zake! Kulikuwa na misa ya shukraniii Na mambo kama hayoooo! Nikamwambia ngoja nikupakieeee!

Katikaaaa kupakiii pakiiii nikaonaaa ana passport 2! Moja ya USA! Ya 2 Diplomatic! Mmmmhhhh! Not that I cared by now hata Angekuwa anapiga debe ningeenda kupiga nae! Ukitoa pesa kwenye picha he treated me n my son very nice! Alitupa thamani yetuuuu! Wale mbuziiii wengineeee walininyanyasa sanaaa!

Akaniachia home work tafuta biasharaaaa! Tufanye woteeee! Nataka ni set mambo kablaaa sijarudii au hujajaa kule! I don’t want you to work for those nasty people!

Nikajuaaa yupo serious! Nikawazaaaa biasharaaa kama 20! Zote anasemaaaa mtajiiii mdogooo! Competition kubwa! Too much work! Mpaka nikakataaaa tamaaa!

Siku moja nikawaza Microfinance! Nikamwambiaaaa! Akasema hio sawaaa! Sasa mtaji atakuwa nao! Maana kwa proposal niliokjwa nayo minimum ni 50m! Nikampaaa hivo hivo tu!

Akasema Sajili kampuni fungua account! Nikajaza mi paper work ile balaaaa! Nawaza sijuiii kweliii au uongoooo! Kampuni ya watu wawiliii! Tuk as ajili hio microfinance! Akatoa pesa hizooo $25,000! Sio nyingiii kwenu wasomajiiii kwangu ndo kila kituuu! Na majina yangu yapo Kama Owner! Jamaniiii! Jamani hata nikikosaaaa Ndoa kwa hili tuuu nimevunaaaa!

So mpaka sasa ndo naiendesha! Nimerudi shule kufanya CPA! Na Masters! I want to manage my shit properly! Sitakiii kumuangushaaaa kabisaaaa! Na anarudi soon akipata likizo kuna dalili za ubwabwa! All in all he is family now! Kwao wananijuaaaa! Kwetu wanamjuaaaa! Tunapendanaaa!

KWANINI NIMEANDIKA HII STORY YANGU HAPA! CAUSE NATAKA WANAWAKE WNEZANGU MJUE DESPITE WHAT HOPE IS THERE! MI NISHAKATA TAMAAA NA KUTUMIKAAA HUMU SANAAA!PEOPLE TREATED ME LIKE TRASH TO THE POINT I WAS FIGHTING TO BECOME BETTER TRASH! ILA MUNGU NI WETU SOTEEEE KANIPA MTU WA KINITIBUUU MAJERAHAAA YANGU, KUNIPA HOPE NA FUTURE!

BE INAPIRED BE MOTIVATED! KAMA KUNA VITU VINAKUFANYA UWE CHINI PAMBANA NAVYOOO! WANAUME NI WALE WALE WA JF WA MTAANI! TENA BORA WA HUMU! THERE MAYBE ONE FOR YOU!

THE END!
Najua ushaolewa na jamaa , all the best dear...life fucks us all....umefanya nianze kuyawazia mapenzi tofauti sana, nice story love
 
Back
Top Bottom