Weekend story: A Woman of the people

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,700
29,111
Igweeeeeeeee!!!

RIP WARUMI! (Mimi na wewe tulikuwa na tofauti zetu za hapa na pale but all Ina all you were a good man, young and vibrant! You will be much missed! Haswaa vi chambo vyako! )

Im back from around the world! Kabla hamjapanic nimerudi na Vuuu tu! Nothing to show picha tu! So relax! And yes nimerudi kudanga humu like i never left.

Mambo ni mengi, Ubuyu ni mwingi! Na sinaga kazi mbovuuu! Ukiona biography Jua tu $$$$$ sio shida zetu kwenye story zetu!

Hii sio story tuelewane! Ni biography! TRUE EVERY LINE EVERY DETAILS! Mpaka nimerudisha papito humu baada ya kuizunguka dunia nzima! Mjue humu ni mgodiiii! Sahivi nakomaaa mpaka miele week!

WHO IS WOMAN OF THE PEOLE? HUMU MMU NI NANI? ANA UHUSIANO GANI NA MAN OF THE PEOPLE! KATOKEA WAPI NA KAPATAJE HIZO $$$ 20,000! Nyani Ngabu kwa $$$ 1000 tu nakuwa chawa wako pro max! Na wewe unatajwa sanaaa kwenye list ya WOMAN OF THE PEOPLE! Kunywa panadol mapemaaa!

THE FULL BIOGRAPHY OF THE BADDEST ONE AND ONLY WOMAN OF THE PEOPLE COMMING SOON( LEO LEO) Kunirudisha humu niandike gazeti kaonesha jeuri ya pesa! Kanambia only you can write my Biography! Talk your number! Jamaniiii! Yule yule mchovu mwenzetu!

USIBANDUKE!
 
THE WOMAN OF THE PEOPLE ( THE AUTO BIOGRAPHY)

WOMAN OF THE PEOPLE (WOTP) in early thirties net worth 100m and counting! Owner of micro finance, Mother of 1, Widowed! CPA(T) , Hustler, Fiancé! Most of all MTOTO WA MWANANYAMALA TO THE CORE!

Lara 1: When, Why and how did you come to JF!

WOTP: I was young naive, beautiful, vibrant and full of hope, full of love! Looking for a better life!

Lara 1: Did you really believe JF could give you a better life?

WOTP: Absolutely! With all my heart! I did every inch of me!

Lara 1: For bagging over 50m from one guy hapo sijaongezea za kina Man of the pepole, Nyani ngabu na the rest of your juicy least which we will devour bits by bits! I also now strongly believe HORSES DO FLY IF YOU HOPE ENOUGH!😃! Back to Topic!

Securing that humongous bag! THE BAG! Sanduku! Was it a walk in the park? How was it ! Gives us all in one word!

WOTP: DEADLY!!!

Lara 1: Mudderous in did!!!! But I still can not believe you snatched that MONSTER bag under our very nose! Maybe others but me your Maestro! It is such a shame in my Jf career to be outsmarted by you! You wanted me to do this auto biography to rub it on my face every second! Full offence taken! My story is not over! But as long as you have that bag we are best friends for life! When you are at the top THERE ARE ABSOLUTELY NO CONSEQUENCES WHATSOEVER!

I still do not believe you bagged that bag here in MMU! Convince me more! And you know me I’m not easily convinced!

WOTP: How in the hell did I get to own a Micro fiancé? You know me Lara! Umekopa paleee! Kama sina nakukopeshaje? Mmmmhhh!

Lara1: No further questions your highness! Sorry! 1 last final question! Kwa wale wanaofanya mizaha mizaha humuuu na wenye gundu kama mimi la kutongozwa na vingasti sugu! Unatushauri nini maybe some pointers, maybe namba hio ya mganga wako, coordinate za Njia panda au makaburi uliologea pale mwananyama au namba za mbeba box, you know anything to keep as going!

WOTP: BE REAL, BE YOUR SELF! NEVER BE FAKE! Fake attracts fake!

Lara 1: Nakuja chobingo namba ya mtaalamu huyoooo! Usinikazieee! Well We as the people have the right to know everthing! Every damn thing! Kuanzia comment ya kwanza una comment humu! Mpaka uka secure the bag!

STAY TUNED FOR AUTO BIOGRAPBHY OF OUT ONE AND ONLY MVP WA WANAWAKE WOTE HUMU MMU THE BADEST BEACH WOMAN OF THE PEOPLE!!!!!!!!!!!! Unfiltered! Name dropping kama zote! Mtanisehe hawezi mwenzangu kupata Fuba hilo mi nipo tu! Stress nawamalizia nyie kwa kuwataja majina mwanzo mwisho! Sio wanawake sio wanaume!
 
Lara 1: I know who you were back then! But who are you now? In your own words jielezeeee kidogooo! Tuchapeeee hizo bakoraaa!

WOTP: I am WOMAN OF THE PEOPLE! A simple lady! A mum! I have a son! Loaded with cash! CEO and owner of Micro finance! A hustler ! A fiancée to my wonderful baby mbeba box! A living proof of never give up! Your story doesn’t end until it ends!

And yes my net worth is above 100m and still counting! Trust me I like living to the fullest! I roll big! I roll luxuriously! Lara 1, Kaka Kiza you know My generosity! Nimewanywesha sanaa cocktail Lamada! Maybe not together! Ila kila mtu kwa mda wake! Late Warumi anajua hilo! Mike wa hili jamvi anajua hilooo!

Na sio lamada tu! Lara 1 nimekusaka ulikokuwa umefukiwa nakurudisha rasmi mjini! Corona ikipoa tu Bata ni boda to bodaaa! We going international baby! Sawa maybe Bata za nje ya nchi nime chelewa ila ndo maana nimekufukua mbuzi wewe najua mwendo nje ya nchi umeupiga Na vita vimekushinda umerudi nchini kimya kimya kama kijibwa! Hehehee! Sio kwa ubaya shoga angu!

Back to the business that pays the bills! Mimi kama CEO wa Micro finance yangu ni mchapakazi sanaa! Nafanya Kazi mda woteee! Sina mda wa kupumzika! Na ndoto yangu kubwa kampuni yangu ifike kuwa na matawi Mikoa yote Tanzania! Lara 1 si umesoma wewe ila vyeti alikimbia navyo mganga! Hehehee! Si kwa ubaya shoga angu! Mtoto wa Kinondoni imebakia story! ( Don’t give up, your accolades are comming! Bigger and mightier)

Niligusia kwa juu, I have a son! Yes! My hero! Navowajua Mshaanza who if ze fazaaa? He is deceased! Marehemu hasemwi kwa ubayaaa! Amepumzika kwa amani na Babu zake! So hii story haimuhusuuu kabisaaa!

And who gave me the bag???? Just a wonderful soul wa humu humu Jf! Mbeba box flaniii! Mnyamweziiii flaniii! Mtu mwenye utu wakeeee! Mtu na nusuuuu! My baby! Wangu mimi! Wangu peke yangu! Nampendaaa mpaka naumwaaaa!

Najua mnawaza mengi sanaaa juuu yake! All I can tell you he is a very simple man! Absolutaley simple! As a single mum najua changamoto za ku date na mtoto! Achaaaa tu! Mtoto anakuwa kama anakutia nuksiiii! Lakini Mungu huyu alivo waajabu, mtoto aliniongezea point kwa mbeba box! Akaniambia wanawake ambao hawajazaaa mambo mengi I cant deal!

Mshaanza oooh mume wa mtu! Tena babuuuuu la miakaaaa 69! Heheheee! You wish! Kijanaaa! In mid 30s! Mpo nyonyo! Sharobarooooo! Si mnajua wanyamweziiii! Watu wa kutupiaaa! Gym sanaaa! Kunukiaaa sanaaa! And what I love most HARD WORKING! He works reallly really hard! Aaaaaaaaaw!

Na sio mume wa mtu mnikomeee! Kabla hamjaona na bahatiii sanaaa Hehehee! He is divorced! Bwana nyieeee alioa mzungu mambo ya karatasi! He has a daughter! She is so so cute! Hapo tukizaaa mmoja Game imeishaa! Mpo!

Kabla hamjaanza kibamiaaa! He is so good in bed! So so good! Natamani ILE sala niliosali Mungu akanipa huyu mtu niikumbuke nimpe shoga angu Lara 1 atoe gundu kidogo! Hehehee sio kwa ubayaaa! Ndo mambo yake anayo yapenda sema tu hayampendi! Wapi Madam B! Mutu na wowo lakeeee! Mna gundu wote wa 2! Sio kwa ubaya shoga zangu!

Where was I? He is so good in bed! Absolutely! Kwanza muwe watu wa kujiongezaaa! Nimewaambia anapenda Gymnastics! He holds the wights! Works out 5 times a week! He is passionate about his looks and obviously his performance in bed!

Mkumbuke he is a MAN, not a BOY! Experienced! Ali wahi kuoa so ana almost 7 or 8 years experience ya kulala na mwanamke kila siku usiku! Sio kitu kidogo! Kwa level tunaweza regard kama senior experience! Na mwanamke wa kizungu walivo magogo na anamkojozaaaaa! For 8 faking years! HE IS GOOD BELIEVE ME WHEN I TELL YOU THAT!

Na mimi now I am woman! A mother, Nina akili zangu! Siwezi Kukaa hapa nawadanganya watu wazima wenzangu! Kama jitu kazi haliweziii mlidhani nitawamwagia! Nimefundwaaa! Na shoga angu Lara 1 kungwi wetu mmoja sema yeye alikimbia na shanga za kungwi! Heheheee! Sio kwa ubaya nasisitiza! Raha sisi watu wazima mtu kama ana underperform una muelekeza kiutu uzimaaa! Baby sijaridhikaaa! Fanya 1,2,3! Ndo raha ya utu uzimaaa!

Lakini kama nilivowaambia ni mtu wa mazoeziiii pumziiii Ipo ya kutoshaaa! Round za kutoshaaa! Ananyanyua chuma ashindwe ku Nikunja mieee! Thubutuuuu! Ananikunja nakunjikaaaa! Tena kaenda jando la porini hamaliziii mechiiii mpaka aniulize mara 3, 3 kama nimefikaaa ndo yeye sasa afikeeee! Mpooooo!

Na tunapendanaaa ! Kuna mambo flani ya Mama J nilikuwa sija ya master vizuriii! Kanielekezaaa hatua kwa hatuaaa! Namwmabia baby siwezi ananimbia jitahidi MIC mambo nayapendaaa hayooo! Na mimi na kinyaaa! Nikakutana na chakaramuuu wa 2 wa 3 wakanitia moyooo na upendo wangu kwake na kwa $$$20,000 niko waza a naishi huko upwekeee mda woteee nikajikazaaaa mpaka sahivi Mama J haingiiii kwanguuu! Kanielekeza vile anapenda ILE kazi ifanyikeeeee! Na nafanya sio hovyo hovyo ila anavopenda yeye! Mpo! Kaka mate yawe mengiii utasema zezeta! Jamani $20,000 zinatokaaa mbaliii oraaaaaa!

Mmmmmh!!!! Inatosha na nyieee kutakaaaa kujuaaa Kona zote 4 za chumbani kwetu ili mnipikuuuu! Nyooooo! La secondary pia ni yeye kukubali kuwa Baba kwa mwana sio wake! This tops it all! Mjue kwanza mwanangu hana baba! Like he is gone for good! Never comming back! Na alimuacha hana mwaka! Kama mjuavo Dead man tell no tales! Hawajigusiiii! Wame lala! Imeisha hiooo! Finitooooo! Deal done!

Bora angekataliwa angeendelea na efforts! Au hata angemuona kwa mbali yule paleee! Japo hamtakiii! Ila mwanangu linapokuja swala la baba cha kuona ni Kona nne za cement ya kaburi na msalaba na kimyaaaaaa cha milele! Sio rahisiiii! Sio rahisiiii!

So kutokea mtu akajitolea kubeba hilo jukumuuuu aaaaaaah sijui niwaambiaje! It means everything damn thing to me! Hata leo akiniambia slim natangulia Masjid bila Mjadala! Akiniambia batizwa nawahi kanisaniii na jumuiya najiandikisha! Sio rahisiiii dunia ya sasa!

MSIDHANIE KUNIPA HIO PESA BASI ANAZO ZIMEJAAAAA! LA HASHAAAA! NI AKIBA YAKE YA KUBEBA BOX MIAKA! Nilimuingizaje box mpaka akanikabidhi fuba hilooo! Kesho jioni!
 
Looks like she is having it all!!! Hehheheh amepewa a big bag, bwanaake mnyamwezi, anapendwaaaaaa!

Bwana wewe hebu akumbuke hiyo sala aliyosali ili nimsalie Novena huyu wangu na ninuize hiyo sala yake!

Btw, welcome back lara 1 i assure you, everyone misses you here! cheers 😉
 
Lara 1: So who was your second best shot here at MMU! ( We know mbeba box has to be the best! $20,000! He has to be) And why did it not last! What’s went down! What pointers can you give us!

WOTP: Man of the people of course! Why exactly! I can say it directly! Lakini mambo mengi kiukweli! Nita jaribu kuwaelewesha kidogo! Mnajua mambo ya moyo yako complex!

In short kwanza MOTP is loaded! It’s not news! It is a fact well known! His pockets ran deep! At the time! And he was so generous! Actually generosity was his middle name! Baada ya ile story ya MOTP nikajua tu kama kuna danga MMU la caliber uliyozungumzia lazima nilipate!

Lara muongo muongo sometimes Ila that day of the few days I felt in my heart you were telling the truth! Na nilijisikia kabisaa Nina connection na MOTP! If not him then absolutely his deep pockets!

Nikakufata PM ukanikaziaaa! Huelewekiii! And I was direct MOTP ni naniiii? Unaingia huku na unatokaaa! Na ulijua kabisaa I was in rocks! Kwanini ulininyimaaa sijui exactly! Perhaps you were bagging him yourself then! You didn’t want to share! Either way I was gonna have him!

Nikahangaikaaa sanaaa kujua MOTP ni naniiii? Nilitapeliewa na mbuzi kama 2 hivi! Trying to pose as MOTP! Nimechat nazooo mmmmh nikaonaaa hapa naingiziwa kingiii! MOTP anakwambia mkutaneee baaa za Sinza! Unaiuliza unakunywa nini castle light! Wakati MOTP hanywiiii! Mxiuuuuuu!

Nikaonaaa sasa if I really need to find MOTP, Ngoja ni invest kwa Modes! Nikakaa kikao na modes mmoja! Akaja kuniambia kwa uchunguzi wake MOTP anatumia ID flani naitia kapuniii!

Nikamzamia PM! Kingeee kimenyooka! Nikasema maybe! Modes pia hwaaminiki sanaa ukuta kanipa ID yake anitafuneeee! Hahahaaaa! Mjini hapaaa!

Trust me MOTP is hard to get! Very hard to get! Na ni BAZAZIIII! Maluuuni mbwa! He wants you to be direct! Hataki chenga chenga za Morrison nyingiiii! Anachotaka ni kimojaaa tu, useme uko tayari kumpa papa! Baaaas! Hatongozi yuleeee! Unajitongozeshaaaa! Unajitumishaaa picha, na unajipeleka guest house! Na nguo unavuaaaa na unaikaliaaa mwenyeweee! Pesa za MMU ngumu sanaaa asikudanganye mtu!

Mimi hili file lake nilikuwa nimepewaaa! Sikuaminiii kama atakuwa fedhuliiii kiasi hikoooo! Hata kama ana pesaaaa! Sio Kihivooo! Bwanaaaa nyieeee lisemwalo lipoooo!!!! Nimeji piga sound PM weeee! Mpaka ! Mwezi ukakata na 0 progresss! Nikamtumia picha kumtia ndimuuuu! Wapiiiii! No progress!

Nikaonaaa nitafeliii hapa! I need his money! I really do! Nikaamua kwenda anavotaka yeye! Nikamwambia nimekuelewa kweli MOTP nahisi kama mambo yetu yake ya wakubwa utakuwa fiti! Aaaaaaahhh! Password ikafunguka! Mwanaume malayaaaa hatariiii! Hapo hapo akaniomba namba za simu! Baba ana piga simu 24/7 mda wote chat! Anauliza lini sasa nikashuhudie ufundiiii!

Nikamwambia njoo kwanza Unione mtoto hapa! Sio kukimbilia mechi! Ujue wanawake wenzangu if you have nothing to offer on the table tha pussy make sure ushachukuaaa chako mapemaaa! Maaana huwezi Jua matokeo ya mechi! Mpira dakika 90! Unaweza under perform! Alafu Ikala kwako!

MOTP Mzee wa Masaki, Yesyes kibaooo! Kaibukaaa Mwananyamala! Parking hamna unatembeaaa mbali ndo ufike! Na suit yake Jua la saa 7 kaibukaaa! Papaaaa hio inatafutwa! Akauliziaaa! Si mnajua uswaziii! Nilipitiwa simu kuna Zee La mi suit linakutafuta hukuuu! Lina gari moja ya hatariiii! Tulielekeze au tulishushe bondeni tukalisachiii! Nikawatishaaa serikaliiii hio wanangu kaeni kwa kutuliaaa!

Nikajua atalalamika uswaziii sanaa! Walaaaa! Tena aakaona barafu za 100, anaulzia ya ukwaju Ipo! Nipe Nile! Kitambooo sanaaa! Hahaaaaaa! Niamuuliza sasa matumizi yako wapi! Anasema nimekufata twende shopping!

Mwanangu nae kirangaaa! Anauliza mama! Mamaa! Huyu nani? Aka jibu Uncle mwanangu! Mtoto na mwanambia kacheze na Wenzio anasema nataka nikae na uncle! Mmmmmh! Moto hii ya mwendo kasi!

Tukaenda Namanga nimechukua vitu vya 800,000! Nido kubwa box zimaaa! Sabuni box, mafuta carton! Mwendo wa carton! Akaniuliza unataka kufungua duka! Nampamba wewe si MOTP mtu na pesa zako! Aaaaah! Anacheka
Cheka! Moyoni nasema tulia uchunweee!

Vitu vikapelekwa nyumbani na Kirikuuu! Akaniambia twende A town basi! Kuna ndege ya usiku! Kwa shopping ILE sikuwa Na jinsi! Nikamwambia sawa!

Usiku hao, Arushaaa! MOTP hana kazi mbovuuu! Halaliii hotel uchwaraaaa! Kama kawa hote ya $200! Nikajiuliza Nina Chiu wa kutoa wenye thamani hio! Nikatamani angenipa option anilale kwenye majani na kunikabidhi hio pesa!

Nawaza nampa style gani???? Kwanza kitu msichokijua ni MOTP ni mzuriii ana mvutooo! Ana pesa na anajua ana pesa! Afu ana dharauuuu! Ni mstaarabu ila ule wa kuficha dharau ndani yake! Pia sio msemajiii kabisaaa! Mwanamke ndo uhangaike kumaemeshaaa!

Kwa zile yes no zake! Nikajuaaa hamnaaa kituuu! Ngoja ya kitoto haikeshiii! Namtoaaa knock out round ya kwanzaaa! Nikasema hata silaha za kivita sibebi! Huyuuuu zazwaaa!

Tumefika Room namvamiaaa juu juu! Akasema kaoge kwanza! We have to bath! Mmmmh! Ndugu msomajiii jamaniii! Namuhadaaaa tunaogaaa woteee! Anasema no dear! Mmoja mmoja! Nikasema Sawa! Anza wewe! Akatoka niakaingiaaa! Namkuta kwenye skype call! Masaa ma 3!

Nikapitiwa usingizi! Nakuja kustushwaaaa wewe umekuja kulala hapa? Get into action! Ndo kukurupukaaaa sijui nianze kishoka mike! Au romance au nikalie tu one way itasimama huko huko! Wenge la usingizi kama loteeee!

Akanitulizaaaa relax! Nilikuwa nakutaniaaaaa! Calm down! Mapenzi sio vitaaaa! Mdogo mdogo pesa yangu utailipa yote! Mxiuuuu! Kumbe mbuzi anaongeaaa huyu! Niliwaambia kina dharau za ndaniii ndaniii!

Nikamuuliza okay nipo tayari kuilipa nailipajeeee! Nipe maelekezooo kocha wa dunia! Akaniambia YOUR PERFORMANCE NOW WILL DETARMINE YOUR MONEY KESHO! Plan your moves right! Alinivurugaaaa ndugu msomajiiii! Anasemajeeeee! Kwamba hamna kikomo cha fungu juhudi zanguuu tu! LITAKUFA JITUUUU! Nasemajeeee LITAKUFA JITUUUU mda si mda!

Nikamdandiaaa kama Abiria wa Mbagala! Nampa ma papaso! Najitahidiii! Hadindiiii! Mmmmmh! Asilaniiii! Nikamuuliza wewe Baba vipiiii! Anasema KIWANGO KIPO CHINI SANAA! Mimi ni MOTP you need to try harder!

Alinipanikishaaa! Harder kivipiiii tenaaa! Mbona nafeli mtihani! Nikambilia style ya Mama J kushika MIC! Akasema naona unataka kutumia shortcut sidhani kama itakusaidiiiaaa! Jaribuuu tuoneeeee! BILAAA BILAAA!

Sasa I was angry and frustrated! Wanaume kama hamtaki kumtia mtu bora mkasema tu! Mtu akawaelewaaaa! Sio utopolooo kama
Huuu! Nikamwambia nimeshindwaaa mimi! Nalala kesho nitapanda bus nirudiiii!

Akasema kuna option ya kukufundisha! But I won’t pay you a dime! But nitachokifundisha kitakusaidia kupata pesa kwa wanaume wengine! Or ulale kesho uende! Either way umefeli Kufikia viwango vinavotakiwa na FIFA!

Nikawazaaaa! Nikasema elimu haina mwishooo! Nifundisheeee! Weeeeee! Chiziiii kapewaaa runguuuu! Kama mwalimu Kashasha! Na mtaala anao!

1. Show interest! Biggest turnoff yako kwangu leo hukuwa interested na mimi hata kidogo! Nisifie hata uongo! Mashineee kubwaaa! Six pack! Hata vuuu lainiii! Show tinny bit of interest kunipna mara ya kwanza! Sasa wewe hustukiii! Maybe yes sina maajabu! Still nidanganye danganye kidogo! Kichwa cha chini kina connection na cha juu! Ata Anza kunisifiaaaa!

Kwa mashine kubwa kiasiii chakeee ilikuwpooo! Nikamsifiaaa uongo na kweli tu NJAA hizi!

2. Going concern! Hata kama ukitoka kwa mtu unafuta namba yake! Don’t show that! Comvise him there is going concern! Talk about the future! Even if there is none! Talk about next week! Next month, next year! Inamfanya mtu aone anakujuaaaa!

3. Never talk about money! Hata kama mwanaume akianzishaaa! Jifanye its not for the money! Japo yes money is part of it but not entirely! Nimekutega na fungu la kesho you were so interested! Haitakiwiiii hivoooo!

4. Action! Let’s get into it! Mafunzo ni practical!

ITAENDELEA KESHO USIKU!
 
Igweeeeeeeee!!!

RIP WARUMI! ( Mimi na wewe tulikuwa na tofauti zetu za hapa na pale but all Ina all you were a good man, young and vibrant! You will be much missed! Haswaa vi chambo vyako! )

Im back from around the world! Kabla hamjapanic nimerudi na Vuuu tu! Nothing to show picha tu! So relax! And yes nimerudi kudanga humu like i never left!

Mambo ni mengi, Ubuyu ni mwingi! Na sinaga kazi mbovuuu! Ukiona biography Jua tu $$$$$ sio shida zetu kwenye story zetu!

Hii sio story tuelewane! Ni biography! TRUE EVERY LINE EVERY DETAILS! Mpaka nimerudisha papito humu baada ya kuizunguka dunia nzima! Mjue humu ni mgodiiii! Sahivi nakomaaa mpaka miele week!

WHO IS WOMAN OF THE PEOLE? HUMU MMU NI NANI? ANA UHUSIANO GANI NA MAN OF THE PEOPLE! KATOKEA WAPI NA KAPATAJE HIZO $$$ 20,000! Nyani Ngabu kwa $$$ 1000 tu nakuwa chawa wako pro max! Na wewe unatajwa sanaaa kwenye list ya WOMAN OF THE PEOPLE! Kunywa panadol mapemaaa!

THE FULL BIOGRAPHY OF THE BADDEST ONE AND ONLY WOMAN OF THE PEOPLE COMMING SOON( LEO LEO) Kunirudisha humu niandike gazeti kaonesha jeuri ya pesa! Kanambia only you can write my Biography! Talk your number! Jamaniiii! Yule yule mchovu mwenzetu!

USIBANDUKE!
Welcome back, mtundu wa JF!!
 
THE WOMAN OF THE PEOPLE ( THE AUTO BIOGRAPHY)

WOMAN OF THE PEOPLE (WOTP) in early thirties net worth 100m and counting! Owner of micro finance, Mother of 1, Widowed! CPA(T) , Hustler, Fiancé! Most of all MTOTO WA MWANANYAMALA TO THE CORE!

Lara 1: When, Why and how did you come to JF!

WOTP: I was young naive, beautiful, vibrant and full of hope, full of love! Looking for a better life!

Lara 1: Did you really believe JF could give you a better life?

WOTP: Absolutely! With all my heart! I did every inch of me!

Lara 1: For bagging over 50m from one guy hapo sijaongezea za kina Man of the pepole, Nyani ngabu na the rest of your juicy least which we will devour bits by bits! I also now strongly believe HORSES DO FLY IF YOU HOPE ENOUGH!😃! Back to Topic!

Securing that humongous bag! THE BAG! Sanduku! Was it a walk in the park? How was it ! Gives us all in one word!

WOTP: DEADLY!!!

Lara 1: Mudderous in did!!!! But I still can not believe you snatched that MONSTER bag under our very nose! Maybe others but me your Maestro! It is such a shame in my Jf career to be outsmarted by you! You wanted me to do this auto biography to rub it on my face every second! Full offence taken! My story is not over! But as long as you have that bag we are best friends for life! When you are at the top THERE ARE ABSOLUTELY NO CONSEQUENCES WHATSOEVER!

I still do not believe you bagged that bag here in MMU! Convince me more! And you know me I’m not easily convinced!

WOTP: How in the hell did I get to own a Micro fiancé? You know me Lara! Umekopa paleee! Kama sina nakukopeshaje? Mmmmhhh!

Lara1: No further questions your highness! Sorry! 1 last final question! Kwa wale wanaofanya mizaha mizaha humuuu na wenye gundu kama mimi la kutongozwa na vingasti sugu! Unatushauri nini maybe some pointers, maybe namba hio ya mganga wako, coordinate za Njia panda au makaburi uliologea pale mwananyama au namba za mbeba box, you know anything to keep as going!

WOTP: BE REAL, BE YOUR SELF! NEVER BE FAKE! Fake attracts fake!

Lara 1: Nakuja chobingo namba ya mtaalamu huyoooo! Usinikazieee! Well We as the people have the right to know everthing! Every damn thing! Kuanzia comment ya kwanza una comment humu! Mpaka uka secure the bag!

STAY TUNED FOR AUTO BIOGRAPBHY OF OUT ONE AND ONLY MVP WA WANAWAKE WOTE HUMU MMU THE BADEST BEACH WOMAN OF THE PEOPLE!!!!!!!!!!!! Unfiltered! Name dropping kama zote! Mtanisehe hawezi mwenzangu kupata Fuba hilo mi nipo tu! Stress nawamalizia nyie kwa kuwataja majina mwanzo mwisho! Sio wanawake sio wanaume!
Nishamfahamu.... anatokea Tanga.
 
Back
Top Bottom