ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 20,676
- 76,106
Sijawahi kuiona aisee! Nitumie kwenye bodaMbege ipo Dar sehemu nyingi tu...
Hata mikoani ipo..
Hata ughaibuni kuna watu wanauza..
![]()
Sijawahi kuiona aisee! Nitumie kwenye bodaMbege ipo Dar sehemu nyingi tu...
Hata mikoani ipo..
Hata ughaibuni kuna watu wanauza..
![]()
Share location chap...Sijawahi kuiona aisee! Nitumie kwenye boda
Ukiwa 60+ hakuna tena kazi binti, ni kuomba na kushukuru tu!Siamini tu kama we unaweza kuwa mchovu kiasi hiki🤔
Aaah wale jamaa ni noma, bora kunywa konyagi kuliko!Wangoni wana pombe ya asili?
Wanaume! Ila sisi wanawake hatuna shidaAaah wale jamaa ni noma, bora kunywa konyagi kuliko!
Hivi chimpumu huifahamu?Wangoni wana pombe ya asili?
Mmh, haha..tuishie hapa!!Wanaume! Ila sisi wanawake hatuna shida
Sema ifike mahala wazee mpumzike tu mtatufia mahotelini huko😂Ukiwa 60+ hakuna tena kazi binti, ni kuomba na kushukuru tu!
Siifahamu! Ni pombe?Hivi chimpumu huifahamu?
Huo uamuzi nilishaufanya mda sana, ukiachana na kufa maana kufa ni hakika, kuna kuaibisha brand😬😬 hii ni noma zaidi!!Sema ifike mahala wazee mpumzike tu mtatufia mahotelini huko😂
Ulanzi? Nayo hufahamu?Siifahamu! Ni pombe?
Ulanzi nishawahi kuisikiaUlanzi? Nayo hufahamu?
Hizo si ndizo pombe wangoni wanakunywa hio chimpumu na ulanzi.. japo sifahamu pombe ya asili kabisa ya Wangoni...Ulanzi nishawahi kuisikia
Sikujua! Asante kwa taarifaHizo si ndizo pombe wangoni wanakunywa hio chimpumu na ulanzi.. japo sifahamu pombe ya asili kabisa ya Wangoni...
Sawa..Sikujua! Asante kwa taarifa
Nifanye juu chini nifike Ruvuma
Wewe ushawahi kuinywa?Sawa..
Ujaribu ulanzi..
Sijawahi kunywa...Wewe ushawahi kuinywa?
Sijawahi kunywa...
Ukienda leta ulanzi, mangatongu na likungu...
Nimefika Mbamba Bay...Umenishinda! Unajua vitu kunizidi mimi mwenye kabilA langu
Umefanya jambo la busara babu, ila ukitaka kula vitamu vitamu unaniambia tu mjukuu wako nakupa kampani kama ya jana sawa?😁Huo uamuzi nilishaufanya mda sana, ukiachana na kufa maana kufa ni hakika, kuna kuaibisha brand😬😬 hii ni noma zaidi!!