Hivyo ndo vyenyewe mamaake!vikali vitupu
Nyama na mademuNini kimesahaulika hapaββ Nini kisikosekane.βπͺπΏββView attachment 3672853
Vumbi liwepo.
Mwamba kakosa hata mchuzi wa ndondo alainishe hiyo breakfast?View attachment 3672867
At this point you can now repentπ
Aah sawa... Bro hakutaka majina ya kina Joji Bushi πJina la mtoto wetuπ
Uzuri wa Jf picha za "booster" hazikosekani haipiti siku π€£π€£
Tunataka mizimu ya nyumbaniπAah sawa... Bro hakutaka majina ya kina Joji Bushi π
πππ kinehe π€£π€£Tunataka mizimu ya nyumbaniπ
Si umeona usasa huu...wao wana majina ya Inglish π...dogo akikua tumfundishe affidavit ni nini π€£πππ
Mhola! Umepotea sana mkuu kwema?πππ kinehe π€£π€£