Wedding Anniversary

Wedding Anniversary

FP sijui nimechelewa wapi, ndio nauona huu uzi! am soooo happy for u my sister! MAY OUR ALMIGHTY aendelee kuifanya imara na kuwazidishia upendo mara mia kuliko ule uliokupush kuwa naye! ol the best! salamu kwa wakwe zangu!
 
Last edited by a moderator:
Wou!
Hongereni sana,
watoto ndo mbaraka mkubwa ndani ya nyumba
i like sana kuckia wanandoa wanaoongelea mazuri ya ndoa
na sio kila siku malalamiko kuhusu ndoa na mahusiano!

keep rocking the boat geantly down the stream!
asante sana my dear.
kwa kweli namshukuru Mungu sijawahi kuongelea vibaya kuhusu ndoa. hawa wengi wanaokuja kuongea nami kuhusu ndoa huwa napenda kuwapa positive side ya ndoa, maana najua negative side huwa inatokea kwa bahati mbaya na kiukweli hakuna mtu anayependa itokee
 
my pacha si unajua mambo ya furaha kwa dada yetu wa moyoni FP yani mi huwa najisikia vizuri sana mtu akiilezea ndoa kwa uchanya kiasi hiki.!si utani inahamasisha na wengine kwa kweli!upo lakini my pacha!mimi miss yu kaka!
asante kwa hili jibu kwa pacha wako mlongo wangu
 
FP sijui nimechelewa wapi, ndio nauona huu uzi! am soooo happy for u my sister! MAY OUR ALMIGHTY aendelee kuifanya imara na kuwazidishia upendo mara mia kuliko ule uliokupush kuwa naye! ol the best! salamu kwa wakwe zangu!
Amen my dear, hujachelewa rafiki yangu, siku ndo kwanza inaendelea.
Wakwe zako watazipata salamu zako muda si mrefu. Barikiwa sana na uwasalimu wakwe zangu pia
 
Amen my dear, hujachelewa rafiki yangu, siku ndo kwanza inaendelea.
Wakwe zako watazipata salamu zako muda si mrefu. Barikiwa sana na uwasalimu wakwe zangu pia
my dear, upo pande zipi?? pande zile au zile nyingine na wakwe zangu?? salamu zimefika nitakusalia sala yangu, hiyo ndiyo haswa zawadi yangu kwenu!
 
yan Snowhite,
Ndoa ni maisha ya kijamii,
Muunganiko wa jamii mbili tofauti
mwanaume atatoka kwao na mwanamke vilevile atatoka kwao
kila mmoja ana malezi yake,
Wanapoungana kuishi pamoja
lazima mabaya na mazuri yatokee
ili muunganiko ukamilike..

sasa wanaolalamikia NDOA au Mahusiano, huwa wanachukua negative tuu na positive wanaiacha
zen wanaanza kuwatisha wenzao kwamba ndoa mbaya au mapenzi mabaya!

na wakati watu wanajienjoy kwenye mapenzi yao..kama FP hapa c ametoa ushuhuda mzuri means ndoa/mapenzi ni nzuri tuu!
 
my pacha si unajua mambo ya furaha kwa dada yetu wa moyoni FP yani mi huwa najisikia vizuri sana mtu akiilezea ndoa kwa uchanya kiasi hiki.!si utani inahamasisha na wengine kwa kweli!upo lakini my pacha!mimi miss yu kaka!

Yeeah it sounds vital to hear also the other side of marriage as we have always been bombarded with the negativity..
By the way...mdogo wangu wa kuachiana ziwa snowhite mie nipo salama tu bwana...Nasubiri tu muda ufike tukapige mpunga kwa bidada FP na shemeji kwa kufikisha aka kadhaa za kuwa na pingu za maisha...
 
Last edited by a moderator:
Mie naona kama watu wanamwaga mahongera kwako tuu vile?
Nampongeza pia huyo mkuu wa nyanda za juu kusini.
Mpe hii zawadi on behalf please. lol

13th_anniversary_funny_quote_dark_tshirt.jpg
 
Back
Top Bottom