Websites

Vaislay

JF-Expert Member
Jun 26, 2011
4,532
1,822
Jaman,hapa tz kuna websites nying ikiwa h inayojulikana sn ckuhz FB.jaman hasa mabint wanaiba sana waume,boyfrends,fiances.jaman hayo ndo matumizi ya websites?
 
Jaman,hapa tz kuna websites nying ikiwa h inayojulikana sn ckuhz FB.jaman hasa mabint wanaiba sana waume,boyfrends,fiances.jaman hayo ndo matumizi ya websites?
Vipi na wewe umeiba au umeibiwa kwa njia ya mitandao??
 
mpenzi ukimpata kupitia fb ni bomu


mkuu co kweli, kuna best yangu kapata gal fb na kaoa now wapo shwari tu.

Mpenzi ni popote hata kanisani,misibani,barabarani n.k mkuu unaweza kum feel mtu na uka win.
Cha muhimu ni steps/procedure tu.
 
duh!!! hatari...ila kusema kweli hii mitandao imefanya usaliti kuwa rahisi kidogo. sasa sijui tufanyeje kujikinga na hizi website maana ukimfuatilia sana mpenzio inakuwa sio fresh...duh! aibu!!!
 
Jamani hata MMU na kwenyewe siku hizi Mada zimeisha? Wapi Mwanajamiione, wapi AshaDii, wapi Teamo, wapi Kaizer na wengine ma Lijendi wa MMU?
 
Dah! Pole sana kwa kutwendwa, fanya jitihada ujue kilichomfanya huyo wako mpaka akaibiwa ni nini...! Na anakosa nini kwako mpaka haamue kuibiwa.
<br />
<br />
Hakuna bhana, wakikumegea demu wako na wewe tafuta wa mnyonge mmege..
 
Back
Top Bottom