Hata kuoa siyo lazima. Kwanini unatulazimisha tuoe? Huku duniani kuna mtu anakulazimisha uoe?
Kwamba kazi ni lazima upewe? au kazi unatafuta ya kufanya?. Huku duniani unaweza kujitetea kwamba huna kazi ya kufanya?
 
Nasikia website za ngono zimefungiwa Tanzania, kama ni kweli basi na support Kwa asilimia 100 uamuzi huu wa serikali maana siku hizi watoto wanajua kuchezea simu sana.

Licha ya hiyo, itasaidia vijana wengi kupunguza addiction ya picha hizi maana wameathirika wengi kisaikolojia.

Nashauri wazuie na VPN kabisaaa kama inawezekana.
Uliposhauri wazuie na UPN ndio umeonyesha jinsi uko shallow na una uelewa FINYU sana kuhusu Vitual Private Network (VPN).

Mkuu hata C.I.A ya Marekani wameshindwa kucrack VPN hapo Kolomije ndio wataweza ?!! China na technology yao na udictetor wa kufungia mitandao waChina wanatumia VPN na serikali yao imeshindwa kuzuia ip address diversion za VPN hapo nchi isiyoweza hata kutengeneza betri ya saa ndio wataweza ?! ebv !!
 
Uliposhauri wazuie na UPN ndio umeonyesha jinsi uko shallow na una uelewa FINYU sana kuhusu Vitual Private Network (VPN).

Mkuu hata C.I.A ya marekani wameshindwa kucrack VPN hapo Kolomije ndio wataweza ?!! China na technology yao na udictetor wa kufungia mitandao waChina wanatumia VPN na serikali yao imeshindwa kuzuia ip address diversion za VPN hapo nchi isiyoweza hata kutengeneza betri ya saa ndio wataweza ?! ebv !!
Mama Pasco Capt Tamar
 
Back
Top Bottom