sidhani kama ni kufuja pesa linapokuja suala la kuwahabarisha wadau.Wananchi lazma wataarifiwe lakini pia na donors lazma wataarifiwe! afu kumbuka si donors tu, pia kuna investors ambao inabidi tuwape taarifa indirectly kwa sababu lazma watasoma vitu kama hivi.Linapokuja suala la lugha huwezi kujua strategy ya sirkali, its obvious wana-target certain readers.kwa sababu yaonesha kabisa sirkali ina malengo fulani hadi kufikia kutengeneza hivyo vidubwasha kwa lugha ya kigeni.na pia, si kila jambo linalofanywa na sirkali ni la kijinga(as if halijafanyiwa mchakato) au la kifisadi.wazalendo wapo bado ndani ya sirkali!