nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,398
Bado nitaendelea kukubishia kwa kuwa kukaa kwenye ndoa miaka 20 au 30 haina maana kuwa mna ndoa yenye furaha...unaweza tu ku argue kuwa mna ndoa yenye uvumilivu ila furaha huwezi msemea mkeo; aje aseme mwenyewe tena honestly.
Na kumdekisha hg has nothing to do with uvivu...ni division of labor tu.
Na kumdekisha hg has nothing to do with uvivu...ni division of labor tu.
Ku-pretend miaka 19? Nadhani unamkosea heshima mke wangu?
Hii "notion" ya "kusaidiana" sijui imetoka wapi? Au ni matokeo ya "uvivu" wa kizazi hiki? Kutandika kitandaa na mambo mengine yanayofanana na hilo yanachukua muda wako kiasi gani kwa siku? Mmeo anapokuwa anatandika kitanda wewe unakuwa unafanya nini - if I may ask?
Kwa mfano, saa 11 ya alfajiri wote mmeondoka nyumbani kuelekea kwenye kusaka pesa, saa mbili au tatu ya usiku wote mmerudi nyumbani... na bahati nzuri house-girl anakuwa ameshafanya kazi zoooote (except "kutandika" - haruhusiwi kuingia chumbani): kuanzia kupika, kuwaogesha watoto, kupiga pasi e.t.c... Sasa hata "kuandaa" chumba mnataka "kusaidiwa"? - SHAME...!