Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,085
huyu ndo semegii kweli...?hakika hujafa hujaumbika...
Mteione !
Habari za asubuhi, nna imani, pombe zikikutoka utaelewa ulimisplace picha ya uliyemkusudia.
Husninyo yuko Illinois kwa muda mrefu, na last week nilimpigia akiwa study tours Charlotte (North Caroline)
So far , sijaelewa hicho kinyago ulichokiweka hapo ni kinyago cha wapi !
Yawezekana humjui Husninyo kama sio pombe kichwani imekuchanganyia mistari .

mpenzi wangu, mi namshangaa huyu mtei mtoto wa kiswahili bado anaendeleza majungu. Hebu mwambie wife wako husninyo ana nyama nyama za kuficha mifupa. Lol
mabwaku na wamekupata ile ile..
Mwajei mbona kakongoroka hivo?
mabwaku na wamekupata ile ile..