Wazungu ni wa baridi, hawasisimui kitandani.

Wazungu ni wa baridi, hawasisimui kitandani.

hahahaaa Nazjaz banaa
inategemea ntu na ntu!
daah.........sijui nisemeje.......lakini kuna tofauti SANA!
 
Last edited by a moderator:
sijamaanisha kkukutana nao live bali alivyoongea Nazjaz
ni tofauti sana maneno yangu mkaka wanitafutani jamani?
Hujawahi kukutana na wazungu? Hata posta huwaonagi? Basi ntakupeleka Masaki ukakutane nao wakicheza na watoto wao
 
Last edited by a moderator:
copy sosoliso
......... Paloma mujini umbeya ni mtaji tosha ujue.

Jamani sijawahi kuwa na bwana wa kizungu, ila nasikia ni wa baridi sana kitandani na hawawezi kuhimili mikiki mikiki ya uwanjani.
Najua Paloma utakuwa usha test hii ladha ya winter. Pia na wengine wenye uzoefu na wazungu mtueleze kinachowasibu mpaka mabinti wa kizungu wamiminike Afrika waje kufanya utalii wa kingono
 
Last edited by a moderator:
Mmh!, mi naona inategemea mtu na mtu,na matamanio binafsi.kwa mimi nimetoka na mabinti wa kizungu na wengi wanavutia kivyao na wanaweza mashamsham kitandani, lakini kadri muda ulipoenda hamu ya kulala nao ikawa inapungua sana.Wanawake weusi tofauti wanavutia sana! Nikiona paja tu nipo tayari kwa mwendo hata kama havutii kii hivyo.Mzungu nahitaji maatayarisho.Nahisi ngozi nyeusi inavutia sana,na maumbo ya wanawake weusi ni tofauti na wazungu,wanawake wengi wa kibantu wana makalio ya dhati!wanayoshikiliwa na kiuno nyororo,wakitembea hucheza cheza kwa kupokezana kama yanakimbia mbio za vijiti.wazungu wengine wanayo makalio,lakini mara nyingi huwa flat!.
Wanawake weusi watamu usisikie!

wewe wapesifa za kijinga tuu hawa kukuwe2 wa kienyeji utakuja kujuta..
 
ndo kusema

Lord we don*t need another mountain,
There are mountains and hillsides enough to climb,
There are oceans and rivers enough to cross
Enough to last until the end of time
 
Jamani sijawahi kuwa na bwana wa kizungu, ila nasikia ni wa baridi sana kitandani na hawawezi kuhimili mikiki mikiki ya uwanjani.
Najua Paloma utakuwa usha test hii ladha ya winter. Pia na wengine wenye uzoefu na wazungu mtueleze kinachowasibu mpaka mabinti wa kizungu wamiminike Afrika waje kufanya utalii wa kingono
Mmmmmmh! Labda kuna ka-ukweli kidogo.
 
copy sosoliso
......... Paloma mujini umbeya ni mtaji tosha ujue.

..........na kusutwa sunnah.........subiri yako ifike patakuwa hapatoshi humu!!!

Mie ni mzungu kwani Paloma..?

............ulikuwa hujui babe?!!?!?

Nashukuru shem Mamndenyi kwa kuning'ata sikio.. Au mie mzungu..? Ati Bujibuji mie ni muzungu..?

hahahahaaa..........babe wangu sosoliso naona kapresha kamepanda!!! kwani babu yako si ni jeremani?!?!?

sosoliso, usijiite mzungu, jiite mburushi, Mwakyembe akikusikia tutakusahau
Bujibuji za mtaroni nazo utasema ni nzuri?!?!?! ebooo
 
Last edited by a moderator:
Jamani sijawahi kuwa na bwana wa kizungu, ila nasikia ni wa baridi sana kitandani na hawawezi kuhimili mikiki mikiki ya uwanjani.
Najua Paloma utakuwa usha test hii ladha ya winter. Pia na wengine wenye uzoefu na wazungu mtueleze kinachowasibu mpaka mabinti wa kizungu wamiminike Afrika waje kufanya utalii wa kingono

Cheki na 'MANGE'
 
Back
Top Bottom