wapo wakali na wabovu wabaridi na wajoto kali i mean women lakin ki ukweli wanaume weus hawavutiw na weupe kama wanavovutiwa na mablaki na makalio yao.pia wasichana weupe hawavutiwi namameni weus wanapenda mapigo.makiko wa japan aliniambia na siylvianys toka Bulgaria alisema