Wazungu ni wa baridi, hawasisimui kitandani.

Wazungu ni wa baridi, hawasisimui kitandani.

Nazjaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
7,802
Reaction score
9,281
Jamani sijawahi kuwa na bwana wa kizungu, ila nasikia ni wa baridi sana kitandani na hawawezi kuhimili mikiki mikiki ya uwanjani.
Najua Paloma utakuwa usha test hii ladha ya winter. Pia na wengine wenye uzoefu na wazungu mtueleze kinachowasibu mpaka mabinti wa kizungu wamiminike Afrika waje kufanya utalii wa kingono
 
Last edited by a moderator:
Ila tegemea mada hii huenda ikadead mana zipo mada tatu kwenye taarifa hii ya leo na kwa uzoefu wangu mods huwa wanaondoa na kubakiza moja
 
Mmh!, mi naona inategemea mtu na mtu,na matamanio binafsi.kwa mimi nimetoka na mabinti wa kizungu na wengi wanavutia kivyao na wanaweza mashamsham kitandani, lakini kadri muda ulipoenda hamu ya kulala nao ikawa inapungua sana.Wanawake weusi tofauti wanavutia sana! Nikiona paja tu nipo tayari kwa mwendo hata kama havutii kii hivyo.Mzungu nahitaji maatayarisho.Nahisi ngozi nyeusi inavutia sana,na maumbo ya wanawake weusi ni tofauti na wazungu,wanawake wengi wa kibantu wana makalio ya dhati!wanayoshikiliwa na kiuno nyororo,wakitembea hucheza cheza kwa kupokezana kama yanakimbia mbio za vijiti.wazungu wengine wanayo makalio,lakini mara nyingi huwa flat!.
Wanawake weusi watamu usisikie!
 
Mademu wa kizungu watamu sana maana wanajua kulalamika kweli ......!
Tena wanapenda wabantu sana ...........!
 
Ngoja Mange kimambi aje atupe mauzoefu.........,

mie nimewahigi kusikia eti wengi wao wana Vibamia ila sijui kama ni kweli........,
 
Halafu tukishajua kuwa hawasisimui?
 
Wenye Uzoefu wenyewe hawajitokezi,Njooni bana mfunguke
 
Nasikia huwa wanakuja kufanya utalii wa ngono huku

Mie ndo nilienda kwao ulaya kufanya utalii wa NGONO .............!:love:

Tena nikawala wa mataifa mbali mbali ya ulaya ...........!:love:
 
Ngoja Mange kimambi aje atupe mauzoefu.........,

mie nimewahigi kusikia eti wengi wao wana Vibamia ila sijui kama ni kweli........,

Nina hamu na wewe leo , dah ofisini hapakaliki .............!
Achana na wazungu bhana ........!
 
Back
Top Bottom