aise
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 4,176
- 12,234
Hili ni wazo simple, kwa mtu simple.
Kuna wale watu ambao tayari mjini wanatafuta hela ya kula tu na kulipa kodi, basi hili ni wazo poa kwa ajili yako.
Kwakuwa ndiyo unaanza, Nunua maharage 1kg, mchele 3kg na walau robo ya nyama. Nenda asubuhi sana stendi, pika chakula chako, mpaka saa moja chakula kiwe tayari.
Wauzie kwa sahani buku. Hapo usiweke mbwembwe, tia wali na maharage kwa buku, ambaye hatumii maharage mtilie mchuzi wa nyama.
Trust me, huu mchongo unalipa, Wengine tunakunywa chai na chapati kwakuwa hakuna namna.