Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,797
- 22,337
Kwel kabisaa..kwenye kipind kama hik better angekua anafanya kitu hata kwa udogo, 8 years angekua angalau ameshapata idea kwamba muelekeo wangu ni huu na sio uleNakumbuka 2015 kuna dogo rafiki angu alikuwa analala nje kariakoo ila saivi ana duka la simu pale agrey kajitafuta kajipata yan hiyo miaka ni mingi ukiwa una ishue unafanya unaweza ukajipata masta aaah NOMA SANA MASTA