Wazo nililopata kuhusu ajira

Wazo nililopata kuhusu ajira

Usipofanya hivyo hutoboi, wote waliotoboa kuna namna ya kudharirisha wamepitia na kujichoresha au kuchoreshwa Ila Mwisho wa yote wanakula Maisha
Yah true.
Maana ujue hata kuamua kufanya biashara na haukua na mpango huo before, unakua unaona kama unajichoresha hiv.. Nakumbuka wakat nimejiingiza kwenye ujasiriamali, kipengele cha kupata pesa ni inakulazimu ukauze, sasa kwenye marketing hapa yan nilikubali AIBU ZOTE nikawa TAYARI KUJICHORESHA ili mradi tu mtu akusikilize akikuelwa mtafanya kazi unapata angalau pesa. Otherwise, ni lazima uwe tayar kukubal na kumeza aibu il usogee hatua flan
 
Mm next week naanza kuzurura na vipeperushi mitani kutangaza biashara yangu
 
Siyo kwa huo utaratibu wa kwenda kwa mkuu wa wilaya au mkoa mkuu. Tumeona hata watu wahitaji ambao ni wagonjwa wanahitaji pesa hata laki mbili tu kwa ajili ya matibabu,huyo mkuu wa mkoa au wilaya hatoi hata mia. Atakusaidia kukupa barua ya utambulisho upite uombe mitaani.
Sometimes hawa watu halaf hawako kama tunavyowafikiria. Yan nililuja kugundua ni mara nying tu hawa watu wala
  • hawana power kama wanavyoonekana
  • hawana pesa kama tunavyofikiria nao ni wahangaikaji tu wanaishi kwa mishara wengi wao
  • hawana connection za maana saaaana kama tunavyofikiri, yan wengi tu wa hawa wakui wa serikal ni average people ,not infuential not well networked na zaid unaweza kuta wanachukiwa sana na watu kwa udhaif wa serikal wanayoitumikia
  • wengi hawana uwezo nje ya box wala mbadala wa ajira zao ndio maana wakitoka serikalin huwasikii popote wanakaa kusubiri tena teuzi , wanategeam zaid pesaa za upigaji pigaji, ujanja ujanja
  • wengi hawana uwezonwa kifedha na wengi hawako na access ya ufisadi, wenfi wanabebeshwa lawama tuu, hata hiz pesa na ufisadi mpaka level za halmashauri na serikal za mitaa wala hawalambi 10 mbovu maana upigaji unafanywa toka juu..

NB.
Hawana msaada kiviiiile kama unavyoweza fikiri
 
Mm next week naanza kuzurura na vipeperushi mitani kutangaza biashara yangu
Hongera na ni wazo zuri na japo sijajua ni biashara gani, lakin naweza kukushauri mambo yafuatayo
  • jitahid kuzungumza na watu kuhusu biashara yako INNTHE FIRST PLACE before kugawa tu vipeperushi, na make sure una establish contact na watu hao unaozungumza nao sio KUGAWA TUU VIPEPERUSHI
  • hii ni kwasababu watu wengi hawana muda wa kusoma soma kuhusu mambo ambayo HAWAJATAFUTA WAO KWANZA, hivyo watachukua vipeperushi na hawatasoma watavitupa. KUMBUKA VIPEPERSHI NI GHARAMA KUANDAA.
  • sio kila mtu tuuu wa kumpa vipeperushi maana sio kila mtu unataka awe mteja wako , hivyo nashaur zungumza nao/na watu zaid ili ku identify your possible customers to be (prospects).
  • gawa vipeperushi hivyo wewe mwenyewe ,itakua nzuri zaid. Ukisema umkodi kijana tu ndio afanye hiyo kaz mwisho wa siku watatupa wewe ukijua wamepelelea kwa walengwa. Siku moja nilikita rundo la vipeperushi pale kivukoni nikasikitika sana kwa kufikiri hapa mwenye biashara yake anajua vipeperushi vimesambazwa kumbe kuna mjanja kalpewa nauli na hela ya kula na malipo asambaze vipeperushi ILA KAJA KUVI DUMP KASEPA. Hii njia ya masoko inahitaji umakini mkubwa sana.

NB.
Nina mengi ila niishie hapa but all in all, growing a buzness needs a heart, no shortcuts. It is a practical thing.
 
Sio kirahisi vipi mkuu? Sisi watu wa kusini ndo runahangaika sna mana hata walioko kwenye system hawataki kuskia kabisa kuhusu sisi wengine huku ukwamani
Naamisha siku hiz watu hawabebani tuu just bcz mmetoka mahala pamoja, yan unahitaji sana kumshawishi mtu akubebe kwenye jambo lake. YOU RAE ALONE ,PLAN YOUR FIGHTS AS LONE, NO BODY IS GUARANTEED TO BE THERE FOR YOU.
THE ONLY PEOPLE TO BE THERE FOR YOU ARE CUSTOMERS NAO KAMA UTAKUJA NA SULUHISHO LA CHANGAMOTO ZAO NDIO UTALAMBA PESA YAO
 
Ni kweli, lakini pia kwa nini asiende kwenye Taasisi mbalimbali za private ama government ambazo zinahusika na masuala aliyo somea.zilizopo katika eneo lake akaomba kujitolea,ili kuongeza uwezekano wa kupata ajira pale zinapo tangazwa. Ingawa pia anaweza kulipwa nauli na posho ndogo ndogo akiwa anajitolea.
Hapa vijana watakupiga mawee
 
Naamisha siku hiz watu hawabebani tuu just bcz mmetoka mahala pamoja, yan unahitaji sana kumshawishi mtu akubebe kwenye jambo lake. YOU RAE ALONE ,PLAN YOUR FIGHTS AS LONE, NO BODY IS GUARANTEED TO BE THERE FOR YOU.
THE ONLY PEOPLE TO BE THERE FOR YOU ARE CUSTOMERS NAO KAMA UTAKUJA NA SULUHISHO LA CHANGAMOTO ZAO NDIO UTALAMBA PESA YAO
Hii ni common principle kwa watu ambao wan history za kupambana sana au kusahau walipotoka. Most of the people wenye mind hiz wanakufaga wapweke sana. Na wakifikisikaga wanapotea mazima.

Be exposed to other experience, enjoy it to the fullest
 
Jiandae kulazwa kwenye ubaridi hao sio watu wema kama unavyowaona maigizo yao kwenye TV.Wanaongozwa na falsafa ya FISi .Kuwa makini sana.
Kuna kipindi nilimcheki yule wa kuhamia Burundi nikamwomba anisaidie ajira. Akanijibu nimtafute DM ya Instagram yake.

Nilijiuliza mara nyingi nyingi ila sikumtafuta nikahisi naweza okotwa coco beach kwenye kiroba. Nikaachana nae.
 
Noma sio kidogo chief..noma tani 5 yan hii mzee...2015 parefu sana bila kazi, sema ilibid awe ashakua sugu wa maisha kam ameweza ku survive kipind chooote hiki?. Asaidiwe
Yaaah me mwenyewe nimekubali masta unaigukuzia kazi almostten years na hajawah kabisa kufanya kazi mwanangu kuna vijana wanapambana sana mtu kama huyu ukimpa kazi anakuwa na discipline sana Masta daaah noma sana…..Roho inaniuma masta nimebadili sehemu mbili za kazi ye bado anatafuta , kuna watu watakuja kukejeli ila daah noma sana masta….
 
Noma sio kidogo chief..noma tani 5 yan hii mzee...2015 parefu sana bila kazi, sema ilibid awe ashakua sugu wa maisha kam ameweza ku survive kipind chooote hiki?. Asaidiwe
Nakumbuka 2015 kuna dogo rafiki angu alikuwa analala nje kariakoo ila saivi ana duka la simu pale agrey kajitafuta kajipata yan hiyo miaka ni mingi ukiwa una ishue unafanya unaweza ukajipata masta aaah NOMA SANA MASTA
 
Kuna kipindi nilimcheki yule wa kuhamia Burundi nikamwomba anisaidie ajira. Akanijibu nimtafute DM ya Instagram yake.

Nilijiuliza mara nyingi nyingi ila sikumtafuta nikahisi naweza okotwa coco beach kwenye kiroba. Nikaachana nae.
Wa kuhamia Burundi ni yupi
 
Njia rahisi Sana ya kutoka hapo,ni kwenda EFM pale,tunga stori yako ya kusikitisha isiyo na mashaka wapange ndugu zako wasike wakaharibu mchongo,baada ya hapo omba watanzania wakupe ajira,hayo Mambo ya kwenda kwa raisi kijana utaumia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom