Ndondocha mkuu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 2,517
- 3,040
Ulisomea nn mkuu
Social protection ifmUlisomea nn mkuu
Inaonkna kaz zake adm mkuu , ulisoma komb gan advnceSocial protection ifm
Waliobebwa bebwa ndio husemaga hivyo wanaona Mambo rahisi rahisi tu,Wenyewe ajira za michongo 🤣😂
Watakwambia kijana jiajiri
Kalime,saivi msimu wa mvua🤣🤣
Amesema Social protection, haujasikia au?Inaonkna kaz zake adm mkuu , ulisoma komb gan advnce
HKL mkuuInaonkna kaz zake adm mkuu , ulisoma komb gan advnce
Wew ni jinsia gan had uwe n plan za hivi?HKL mkuu
Hatusomi Kufaulu LazimaHKL mkuu
Mimi ni ke Sasa kuliko nikadange nife na magonjwa Bora niombe kaziWew ni jinsia gan had uwe n plan za hivi?
Sawa usikate tamaa mkuu, sio lazma upate kaz ya koz yako, niliulza komb ili nijue kama ungekua umesoma komb za pcm au pcm au Egm nngekutaftia conn hata ya ualimu prvate.ila uskate tamaa hasa kama bado haujafika 32HKL mkuu
Piaa najua kaz unaomba sehm mblmbl,jarbu hata biashara hata ya mtaji wa lak 5 au M1Mimi ni ke Sasa kuliko nikadange nife na magonjwa Bora niombe kazi
DuuhALiyeshiba hamjui mwenye njaa,hao viongoz hawatakusaidia, sana sana watakwambia " wanangu wenyew wamesomea kitu flan hawana kaz:"
Ngoja nikwambie kitu 'Ndondocha' unasikia 'Ndondocha' 😆ALiyeshiba hamjui mwenye njaa,hao viongoz hawatakusaidia, sana sana watakwambia " wanangu wenyew wamesomea kitu flan hawana kaz:"
Hii njia huwezi elewa mpaka uitekeleze,ila ajira lazima utapataSijakuelewa mkuu
Okay, kwahiyo hapa umekuja kuuliza kama inawezekana ama haiwezekani...sindio🤔🤔Nimeuliza tuu nijue je, inawezekana kuonana na watu hao bila kikwazo maana nitafika mpaka Kwa mama Samia
Usipofanya hivyo hutoboi, wote waliotoboa kuna namna ya kudharirisha wamepitia na kujichoresha au kuchoreshwa Ila Mwisho wa yote wanakula MaishaAcha kujidharilisha na kujichoresha. Usipende kutafuta sympathy mkuu. Anzia ulipo na pia anza na chochote kwa kujiajiri.
Nenda Redioni redio zina nguvu zaidi ya unavyofikiri,maana nitafika mpaka Kwa mama Samia