Wazo nililopata kuhusu ajira

Wazo nililopata kuhusu ajira

Usipofanya hivyo hutoboi, wote waliotoboa kuna namna ya kudharirisha wamepitia na kujichoresha au kuchoreshwa Ila Mwisho wa yote wanakula Maisha
Siyo kwa huo utaratibu wa kwenda kwa mkuu wa wilaya au mkoa mkuu. Tumeona hata watu wahitaji ambao ni wagonjwa wanahitaji pesa hata laki mbili tu kwa ajili ya matibabu,huyo mkuu wa mkoa au wilaya hatoi hata mia. Atakusaidia kukupa barua ya utambulisho upite uombe mitaani.
 
Ndio maana nikamwambia nenda Redioni utapata msaada sio huko sijui kwa mkuu wa nini hupati kitu
 
Ni kweli, lakini pia kwa nini asiende kwenye Taasisi mbalimbali za private ama government ambazo zinahusika na masuala aliyo somea.zilizopo katika eneo lake akaomba kujitolea,ili kuongeza uwezekano wa kupata ajira pale zinapo tangazwa. Ingawa pia anaweza kulipwa nauli na posho ndogo ndogo akiwa anajitolea.
 
Sasa hio inategemea na yeye mwenyewe,
 
Acha kujidharilisha na kujichoresha. Usipende kutafuta sympathy mkuu. Anzia ulipo na pia anza na chochote kwa kujiajiri.
Umesema kwel, but hardship iko prolong kwa kipind kirefu ni rahis kukata tamaa, ni human nature, kuna wengine ambao tuliojaaliwa ku force more bila kujal ila kwa girls ni ngumu mkuu..asaidiwe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom