Nyama ya konokono?
Siyo kila mwenye koti jeupe ni daktari wengine wauza nyama
Siyo kila mwenye koti jeupe ni daktari wengine wauza nyama
kingereza kingi bila kuwa na pesa ni makelele.
Siyo kila mwenye koti jeupe ni daktari wengine wauza nyama
Hata gari lijae vipi dreva hakosi siti...
Ukiona kazi kufanya kazi, acha kazi uone kazi.
Wanakuwa wakali sana kwanza hata ukikaa karibu yake ukawa unamgongagonga kidogo atakumind mbaya.....akikosa itakuwaje?
Si kila anayeongea Kiingereza kaishi Ulaya...[/QU nimekubal
...ndala haipigwi kiwi..
hahaha una vimisemo na wewe..
nimesoma mahali Amy wangu...
hw are you lakini...?
hahahahaha,ntalala vizuri leo
Am fine bagah.. Mzima wewe? Umevaa trouser nyeusi leo?