Mpatanishi
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,811
- 623
Kama weupe ni dili,ubuyu usingetiwa rangi.
Naima hujambo ww?!
Kama weupe ni dili,ubuyu usingetiwa rangi.
Naima hujambo ww?!
Kama weupe ni dili,ubuyu usingetiwa rangi.
Ukiona manyoya,ujue kashaliwa.
Ikiwaka mulika, ikizima papasa
kuna jirani nilimsikia akisema ikisimama panda...
Na ikilala...?
Na ikilala...?
Imeshakula hiyo ! Haina nenge .
kitu la kuchumpaaa la kuparamaaaaaa''..usiangalie mwendo wangu, angalia kiatu nilichovaa...''