Chipolopolo
JF-Expert Member
- Feb 14, 2012
- 1,425
- 725
Ndimu changa haina maji....
sio kila anayejikuna ana upele....
Umeomba lifti, kisha mimacho umeikodoa kwenye geji ya mafuta ! Inakuhusu nini ?
nyeusi ndio yenyewe mama...
kitu j3-ijumaa unakung'uta vumbi...
ww umevaa kimini cheusi??
Mi sivai vimini mwenzio..
hahaha...so umevaa nn cheusi hapo asee...
Ni skirt ndefu mpaka chini..
Am fine bagah.. Mzima wewe? Umevaa trouser nyeusi leo?
duh na huo mguu mzuri ivo...lol
No ! Leo kavaa nyekundu, lakini anapigia debe black !
Hapo nlitoka jogging.. Lakini in normal circumstances mtoto wa sheikh mie mguu nauficha..lol
Ukitaka kujua umuhimu wa mat.ako kalia kichwa...
Source: unknown