Post raba /kiatu kikali hapa ili nasisi tuvae tupendeze

chakula cha watoto

JF-Expert Member
Apr 25, 2023
462
974
Katika vitu ambavyo vinafanya uonekane smart ni kiatu ulichovaa, kama umevaa kiatu kibovu basi hata juu utupie vipi watu watakuona mchafu tu.

Naombeni mnitajie raba au kiatu ambacho kinadumu na ni kizuri. Binafsi napenda kuvaa Lacoste, Clark's na Ecco.

Tupia na wewe kiatu ulichovaa Leo tuone
IMG-20240107-WA0004.jpg
a9935d0f335f4fb39f643f91952c9d2f.jpg
 
Back
Top Bottom