Wazo la leo

Wazo la leo

"Lakini uongozi mbovu ni kama mzoga, una tabia ya kukaribisha mafisi na mainzi"

Source: Mwalimu J.K. Nyerere. (R.I.P)
 
Ukiona kazi kufanya kazi, acha kazi uone kazi.
 
siyo kila m'beba bunduki ni askari, wengine majambazi.
 
juu havutii ila chini kafungasha madini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom