Wazo la leo

Wazo la leo

" hata ukisikia Brazil imeshuka kiwango cha soka,sio kufikia kufungwa na Taifa Stars"
 
Mume ni mueme, ingawa gumegume ana sifa ya mtume
Na mke ni mke ingawa kikwekwe ana manufaa yake - Shaban Robert
 
Kama kuoga ni usafi,taulo lingechafuka!


Sio kila kitoacho povu ni sabuni,vingine vinatoa povu ila haviishi!
 
Back
Top Bottom