Waje na Tukuyu!Leo tawi hapa, kesho tawi pale, mkoa huu, wilaya ile. Kwa mwendo huu, ukirusha jiwe linaweza kuangukia tawi la Azania.
Hongereni Benki ya Azania, mwendo ni kasi kweli!
Riba ya mkopo 9%, Ada ya mkopo 1.5 na bima ya mkopo 1% kwa 12 months Jumla 11.5% ndio benki iliyo chini kwa riba. Mkuu Mtemi mpambaliotoWashushe riba hata 13 watu wajae
Hii ndiyo itaenda DSE,?Leo tawi hapa, kesho tawi pale, mkoa huu, wilaya ile. Kwa mwendo huu, ukirusha jiwe linaweza kuangukia tawi la Azania.
Hongereni Benki ya Azania, mwendo ni kasi kweli!