kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,755
maono yangu yananiambia,kuhusu sakata la kutoweka/kupotea/kupotezwa kwa ben saanane,sahau kupata msaada wa aina yoyote toka kwa hicho ulicho kiita "vyombo husika".Ndio walewaleeee!! WAPIGA DILI, duuuh Mara tuuuu! MNATISHA, SUBIRINI KIDOGO VYOMBO HUSIKA VINAFANYA KAZI, NI LAZIMA UKWELI UTAPATIKANA TU
hayo ni maono yangu niliyo oteshwa ndotoni usiku wa kuamkia juzi.naomba niishe hapo.