- Thread starter
- #41
Kama umemjua baada ya kupotea basi humjui Ben.Eti kijana anayejulikana ndani na nje ya nchi...
Sasa kama anajulikana kapoteaje?
Mbona mi nimemjua baada habari za kupotea kwake kutangazwa!!
Kama umemjua baada ya kupotea basi humjui Ben.Eti kijana anayejulikana ndani na nje ya nchi...
Sasa kama anajulikana kapoteaje?
Mbona mi nimemjua baada habari za kupotea kwake kutangazwa!!
Kama hujui kinachoendelea kwenye familia ya Mawazo bora kunyamaza.Familia ya marehemu mawazo walichangisha wabunge wa Chadema na wapenzi wa Chadema mamilioni eti ya kusaidia familia kaulize hata SAA hii familia yake ilipata shilingi ngapi Chadema watoe ripoti watakuwa wakali kama pilipili.Hapa wanataka kutumia Ben saanane kupiga pesa vibaka wakubwa pelekeni zile pesa zaidi ya milioni 100 mlizochangisha mkaipe familia ya marehemu mawazo kwanza kabla ya kuja na porojo mpya hapa.
Mlichangisha mamilioni muipe familia mlichofanya utapeli eti god bless lema kamchukua mtoto wa mawazo eti kumsomesha mngewapa pesa wangesomesha wenyewe sio ujanja ujanjaKama hujui kinachoendelea kwenye familia ya Maneno bora kunyamaza.
Hivi pesa ya namna hii. Yaani ya trust fund. Nayo hutozwa kodi?Na hali ilivyo hii ya Magufuli!Ebu acheni uzushi wenu wa kutafuta pesa.
Hutozwa kodi kama kawaida.Hivi pesa ya namna hii. Yaani ya trust fund. Nayo hutozwa kodi?
Nimekwambia hujui unachojua mtoto anasoma na familia inaendelea.Mlichangisha mamilioni muipe familia mlichofanya utapeli eti god bless lema kamchukua mtoto wa mawazo eti kumsomesha mngewapa pesa wangesomesha wenyewe sio ujanja ujanja
Bi Faiza huu utani na wachaga toka Lini.. Au babu yetu ni sweet mangi..Mleta mada utakuwa ni Mchagga. Bisha!
Ushaiona "dili" kutoweka kwa Saanane. Duh!
Mchangamkie fursa ki halali. Si kila kitu dili.Si kila siku tunahimizwa na viongozi tena wengi wao wakiwa ni wa CCM kuchangamkia fursa? Kama wachaga ndiyo wako mbele sana kwenye kuchangamkia fursa sisi wa makabila mengine lazima tujiulize tuna tatizo gani hadi tusizione fursa ambazo wachaga huwa wanaziona? Kwa nini tunabakia kulalamika kwa wachaga kutumia fursa ambazo hawana hatimiliki nazo?
Nafikiri maswali yako yanajadiliwa kwenye thread zingine, una mawazo gani kuhusu trust fund.Habari ya huyu kijana inachanganya.
1. Kwamba kapotea zaidi ya wiki tatu sasa.
2. Wa kwanza kumuulizia kwenye mitandao ni mpenzi wa chama tofauti na chama chake wiki kama 2 zilizopita. Na hapakutolewa majibu ama na wapenzi wa Ben au mtu yeyote huko mitandaoni.
3. Kwamba alikuwa anatafutwa kimya kimya na familia yake pamoja na wanaharakati wenzake ambao wameleta taarifa mitandaoni baada ya kupata taarifa ya marehemu wa bagamoyo. Kwanini hawakusema mapema kila mtu afahamu labda hata tungesaidia kumtafuta mapema? Hawa wana harakati walikaa kimya ili iweje?
4. Hadi sasa chama chake kiko kimya. Hakuna tamko wala jitihada za chama kumtafuta na kinatuhumiwa kujua aliko. Katibu mkuu wa chama anatoa tamko too late baada ya serikali na wana harakati kuongea. Je kwanini chama kimekaa kimya zaidi ya wiki 3 wakati mwanachama na mtumishi wake wa makao makuu haonekani? Mbona habari za Lema huwa hazichukui wiki 3 kujulikana?
5. Wapo hata sasa wanaoamini na kusema ama Ben kajiteka ama hajapotea ama kajificha ama kafichwa mahala na chama chake. Hawa ndio walianza kueleza mitandaoni kwa mafumbo kwamba CDM wameishiwa sera wameanza kujiteka. Je kundi hili ndilo linaujua ukweli?
6. Watu wengi wakipotea hutafutwa kwa njia mbalimbali ikiwemo vyombo vya habari kama TV. Kwanini familia ya Ben na wanaharakati walimtafuta kimya kimya kwa wiki tatu pasipo hata kwenda kituo chochote cha televisheni kutoa taarifa?