Freeland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 14,481
- 10,233
yo searching an agent...GoshWhat is so funny? If he were your brother will you laugh?

Ben-Rabiu Saanane ni kijana aliyejitokeza katika kizazi hiki kuwa jasiri, mahili na mwenye kipaji cha ajabu katika kujenga hoja. Nyota yake iling'ara si tu ndani ya nchi bali hata nje ya mipaka ya nchi yetu.
Lengo langu leo siyo kuzungumzia aliyofanya Ben bali kuja na wazo la kuanzisha "Trust Fund" itakayojulikana kama "Ben Saanane Trust Fund" kifupi (BSTF).
Lengo la mfuko huu utakuwa siyo tu kumtafuta Ben kokote aliko na kwa wakati wote hata ikipita miaka 20, bali pia utaweza kuisaidia familia yake na mtu yeyote atakayepatwa na tatizo kama hili.
Nimekuwa inspired kuandika hivi na Madeleine's Trust Fund. Hii trust fund ilianzishwa na familia ya McCann ya Uingereza mwaka 2007 mara tu baada ya mtoto wao aitwaye Madeleine kupotea wakati wakiwa mapumzikoni Ureno. Lengo lilikuwa kumtafuta mtoto wao (Leaving No Stone Unturned) ambaye hadi leo hajapatikana, lakini mfuko bado upo unaendelea. Leo mfuko umejitanua kimataifa umeweza kusaidia watoto wengi wenye matatizo mbalimbali duniani kote ki elimu, legal assistance, financial assistance nk.
Mfuko huu (BSTF) utasaidia jamii kutafuta wanaopotea kwa mazingira ya kutatanisha na kutoa taarifa za kiuchunguzi kwa vyombo vinavyohusika.
Karibu kwa mchango na msaada wenu kuhusu wazo hili.
Hilo wazo litakuwa limeanzishwa na mwenyekiti wa chama Mbowe,
Chama hakina hela ya kujiendeshea hela ya ruzuku mbowe na lema wanaitumbua ulaya, hela ya kuendeshea chama hakuna mmeona mje kwa style hii ya kujiteka na kuanzisha foundation ya kujipatia hela haramu!!
I went, yet I didn't!Go to sleep maybe u will understand better when u wake up fresh n rested
UNATAKA KUPIGA DILI SIYO????????????????TUMESHTUKA HUPATI NG'OOOOOO.Ben-Rabiu Saanane ni kijana aliyejitokeza katika kizazi hiki kuwa jasiri, mahili na mwenye kipaji cha ajabu katika kujenga hoja. Nyota yake iling'ara si tu ndani ya nchi bali hata nje ya mipaka ya nchi yetu.
Lengo langu leo siyo kuzungumzia aliyofanya Ben bali kuja na wazo la kuanzisha "Trust Fund" itakayojulikana kama "Ben Saanane Trust Fund" kifupi (BSTF).
Lengo la mfuko huu utakuwa siyo tu kumtafuta Ben kokote aliko na kwa wakati wote hata ikipita miaka 20, bali pia utaweza kuisaidia familia yake na mtu yeyote atakayepatwa na tatizo kama hili.
Nimekuwa inspired kuandika hivi na Madeleine's Trust Fund. Hii trust fund ilianzishwa na familia ya McCann ya Uingereza mwaka 2007 mara tu baada ya mtoto wao aitwaye Madeleine kupotea wakati wakiwa mapumzikoni Ureno. Lengo lilikuwa kumtafuta mtoto wao (Leaving No Stone Unturned) ambaye hadi leo hajapatikana, lakini mfuko bado upo unaendelea. Leo mfuko umejitanua kimataifa umeweza kusaidia watoto wengi wenye matatizo mbalimbali duniani kote ki elimu, legal assistance, financial assistance nk.
Mfuko huu (BSTF) utasaidia jamii kutafuta wanaopotea kwa mazingira ya kutatanisha na kutoa taarifa za kiuchunguzi kwa vyombo vinavyohusika.
Karibu kwa mchango na msaada wenu kuhusu wazo hili.
Ndio kwa sababu wazo limekuja wakati Ben hajulikani alikoKwani hiyo Trust Fund lazima iitwe Ben saanane?
Una maoni yeyote kuhusu trust fund.Nyie na pesa sijui nani kawaloga.
Badala ya kumtafuta Ben saivi mnajipanga kukuza mtaji
Hahahahahahaha
Mahaba ya pesa yaliyopitiliza
Una maoni yeyote kuhusu trust fund.
wewe unawaza kupiga pesa wakati mwenzako amejichimbia anachora mfumo wa operesheni kata funuaBen-Rabiu Saanane ni kijana aliyejitokeza katika kizazi hiki kuwa jasiri, mahili na mwenye kipaji cha ajabu katika kujenga hoja. Nyota yake iling'ara si tu ndani ya nchi bali hata nje ya mipaka ya nchi yetu.
Lengo langu leo siyo kuzungumzia aliyofanya Ben bali kuja na wazo la kuanzisha "Trust Fund" itakayojulikana kama "Ben Saanane Trust Fund" kifupi (BSTF).
Lengo la mfuko huu utakuwa siyo tu kumtafuta Ben kokote aliko na kwa wakati wote hata ikipita miaka 20, bali pia utaweza kuisaidia familia yake na mtu yeyote atakayepatwa na tatizo kama hili.
Nimekuwa inspired kuandika hivi na Madeleine's Trust Fund. Hii trust fund ilianzishwa na familia ya McCann ya Uingereza mwaka 2007 mara tu baada ya mtoto wao aitwaye Madeleine kupotea wakati wakiwa mapumzikoni Ureno. Lengo lilikuwa kumtafuta mtoto wao (Leaving No Stone Unturned) ambaye hadi leo hajapatikana, lakini mfuko bado upo unaendelea. Leo mfuko umejitanua kimataifa umeweza kusaidia watoto wengi wenye matatizo mbalimbali duniani kote ki elimu, legal assistance, financial assistance nk.
Mfuko huu (BSTF) utasaidia jamii kutafuta wanaopotea kwa mazingira ya kutatanisha na kutoa taarifa za kiuchunguzi kwa vyombo vinavyohusika.
Karibu kwa mchango na msaada wenu kuhusu wazo hili.
Hili ni wazo tu sio kwamba kesho mfuko unaanza,Wazo zuri.
Lakini tusubiri kidogo tusiharakishe mno anaweza kujitokeza muda Si mrefu.
Ila kama mambo yakiwa kama sasa baadaya ya muda kidogo kupita (kama wiki au mbili) nikotayari kuweka changu kwenye hiyo trust fund. Hopefully tutapata uhakikisho na maelezo zaidi kutoka kwa Maxence Melo kuhusiana na hii trust fund.
Kuna watu wanawaza 20 years ahead kama wewe unawaza one day bread is up to you.Vitendo.mnavyofanya jamii inazidi kuwaogopa.
Hivi imagine kama kweli kapotea lipi la muhimu ktk familia yake saizi hela.au uzima.wake.
Mbona mnapenda kucapitalize kwenye matatizo.ya wengine
nchi hii kwa tamthilia ... ni shidah!Vyombo husika si ndo wamemuiba!!
Mkuu vipi? Hivi LEMA si yuko gerezani?Hilo wazo litakuwa limeanzishwa na mwenyekiti wa chama Mbowe,
Chama hakina hela ya kujiendeshea hela ya ruzuku mbowe na lema wanaitumbua ulaya, hela ya kuendeshea chama hakuna mmeona mje kwa style hii ya kujiteka na kuanzisha foundation ya kujipatia hela haramu!!
Koma kunizoea
Kuna watu wanawaza 20 years ahead kama wewe unawaza one day bread is up to you.
Kila jambo lina chanzo chake Ben is just a name a cause of course na Trust Fund hailengi kumtafuta Ben tu bali kusaidia jamii na serikali pia.
Ben akionekana ndiyo mwisho wa maisha? ndio maana nikasema you think on one day bread.Hakuna lolote kama huna namna Kubota kipato njoo.nikuajiri sitoi pesa ya bure muda huu.
Kwa hiyo wewe umeona mbali 20 yrs na akionekana Ben utafanya nini?
Mlimmaliza ili kupima uaminifu wa CDM ktk ahadi zao !!??Zile ahadi baada ya msiba wa marehemu mawazo mlizikamilisha?Mtoto wake bado mnamsomesha au ilikuwa ahadi hewa?Tuanzie hapo kwanza...
Walikuwa wanatenda kwa niaba ya chademaDr Slaa aliahidi kumsomesha mtoto wa Mwangosi na Lukosi akala rambirambi.
Ndicho ninachokumbuka miye.