Wazo la kuanzisha Ben Saanane Trust Fund (BSTF)

Wazo la kuanzisha Ben Saanane Trust Fund (BSTF)

Duh kumbe Madeline hakupatikana hadi Leo??? Hii story niliifuatilia sana kipindi Fulani Niko home, Mama Yangu aliumia sana na ikawa Channel ten walikua wanajiunga na Sky news nadhani kila SAA mbili asubuhi.... Ben tunakuombea
Hajapatikana ila wazungu wanaamini bado yuko hai na wanaendelea kumtafuta.
 
Wazo zuri, hasa awamu hii tutegemee uuwaji wa hali ya juu
 
Personal assistance in hiscapacity as the Chairman of the party. Its common for people in higher positions to have a PA who is paid by the institution.

If is paid by the institution, is outomatically the employee of that particular instutituion.......!!
 
Ben-Rabiu Saanane ni kijana aliyejitokeza katika kizazi hiki kuwa jasiri, mahili na mwenye kipaji cha ajabu katika kujenga hoja. Nyota yake iling'ara si tu ndani ya nchi bali hata nje ya mipaka ya nchi yetu.

Lengo langu leo siyo kuzungumzia aliyofanya Ben bali kuja na wazo la kuanzisha "Trust Fund" itakayojulikana kama "Ben Saanane Trust Fund" kifupi (BSTF).

Lengo la mfuko huu utakuwa siyo tu kumtafuta Ben kokote aliko na kwa wakati wote hata ikipita miaka 20, bali pia utaweza kuisaidia familia yake na mtu yeyote atakayepatwa na tatizo kama hili.

Nimekuwa inspired kuandika hivi na Madeleine's Trust Fund. Hii trust fund ilianzishwa na familia ya McCann ya Uingereza mwaka 2007 mara tu baada ya mtoto wao aitwaye Madeleine kupotea wakati wakiwa mapumzikoni Ureno. Lengo lilikuwa kumtafuta mtoto wao (Leaving No Stone Unturned) ambaye hadi leo hajapatikana, lakini mfuko bado upo unaendelea. Leo mfuko umejitanua kimataifa umeweza kusaidia watoto wengi wenye matatizo mbalimbali duniani kote ki elimu, legal assistance, financial assistance nk.

Mfuko huu (BSTF) utasaidia jamii kutafuta wanaopotea kwa mazingira ya kutatanisha na kutoa taarifa za kiuchunguzi kwa vyombo vinavyohusika.

Karibu kwa mchango na msaada wenu kuhusu wazo hili.
Ndiyo maana ninaunga mkono baadhi ya kauliza DT the elected USA President kwa mfano.Africa Continent sh'd be recolonized...zaidi bara la Afrika kwa maoni yangu siyo tu kutawalia na viboko pia kwa siku/kutwa 3*3.
Mleta Thread hakika ni mlemavu wa akili, what is the hell writing/talking for what so called bullshit Trust Fund???
Poor mind & ideas for sure...
 
Umeandika kitu gani kama huna mchango unasepa kimya kimya.
 
Ndiyo maana ninaunga mkono baadhi ya kauliza DT the elected USA President kwa mfano.Africa Continent sh'd be recolonized...zaidi bara la Afrika kwa maoni yangu siyo tu kutawalia na viboko pia kwa siku/kutwa 3*3.
Mleta Thread hakika ni mlemavu wa akili, what is the hell writing/talking for what so called bullshit Trust Fund???
Poor mind & ideas for sure...
Muda mwingine kukaa kimya ni busara zaidi
 
[QUOTE="Jambazi, post:]Hilo wazo litakuwa limeanzishwa na mwenyekiti wa chama Mbowe,
Chama hakina hela ya kujiendeshea hela ya ruzuku mbowe na lema wanaitumbua ulaya, hela ya kuendeshea chama hakuna mmeona mje kwa style hii ya kujiteka na kuanzisha foundation ya kujipatia hela haramu!!
"we kajamaa siku zote unachangia pumba tu hivi mda gani huwa unakua na point?"
 
Ngoja kwanza tuongeze bidii ya kumtafuta, mfuko baadaye baada ya kujua hatima yake, kumbuka tumepoteza makamanda wengi akiwemo mawazo

Basi wewe utakuwa MKWEPA KILAKITU.
Mtoa hoja anataka kuanzisha mfuko wa Ben
Wewe unaleta zako.Fikra finyu
 
Back
Top Bottom