Ni wazo zuri, lakini kabla ya hilo yafuatayo ni lazima yatimie:
1. Hatma ya beni lazima ijulikane, na sheria ifuatwe, a person has yo be declared lost or else. Taasisi muhimu lazima zitoe hilo tangazo.
2. Uchunguzi ufanyike, toka akosekane wahusika kama muajiri wake, ndugu zake, mke au mpenzi wake, maragiki zake, jirani zake nk, wote wahusishwe kwenye Uchunguzi. Walitoa taarifa muda gani baada ya kupitea ndugu Ben?
3. Police wamuite mwaajiri wake arudi nchini kujibu hoja na kuisaidia police kumtafuta na kujua ukweli.
Sasa baada ya hayo na mengine yakisha timia na ndugu Ben ikasemekana kapotea ndipo tunaweza kuliangalia jambo hili la Fund.