Wazo la kuanzisha Ben Saanane Trust Fund (BSTF)

Mtu anauliza kama mtoto mawazo zile ahadi za kusomeshwa zimetekelezwa kwani alishakuja kukuomba ada? Mbona huulizi zile million 50 kama zishafika huko mitaani?

Lowasa alishahaidi kumsomesha toka chekechea hadi chuo kikuu!vp,is there another question?
 
Ben-Rabiu Saanane ni kijana aliyejitokeza katika kizazi hiki kuwa jasiri, mahili na mwenye kipaji cha ajabu katika kujenga hoja. Nyota yake iling'ara si tu ndani ya nchi bali hata nje ya mipaka ya nchi yetu.

Lengo langu leo siyo kuzungumzia aliyofanya Ben bali kuja na wazo la kuanzisha "Trust Fund" itakayojulikana kama "Ben Saanane Trust Fund" kifupi (BSTF).

Lengo la mfuko huu utakuwa siyo tu kumtafuta Ben kokote aliko na kwa wakati wote hata ikipita miaka 20, bali pia utaweza kuisaidia familia yake na mtu yeyote atakayepatwa na tatizo kama hili.

Nimekuwa inspired kuandika hivi na Madeleine's Trust Fund. Hii trust fund ilianzishwa na familia ya McCann ya Uingereza mwaka 2007 mara tu baada ya mtoto wao aitwaye Madeleine kupotea wakati wakiwa mapumzikoni Ureno. Lengo lilikuwa kumtafuta mtoto wao (Leaving No Stone Unturned) ambaye hadi leo hajapatikana, lakini mfuko bado upo unaendelea. Leo mfuko umejitanua kimataifa umeweza kusaidia watoto wengi wenye matatizo mbalimbali duniani kote ki elimu, legal assistance, financial assistance nk.

Mfuko huu (BSTF) utasaidia jamii kutafuta wanaopotea kwa mazingira ya kutatanisha na kutoa taarifa za kiuchunguzi kwa vyombo vinavyohusika.

Karibu kwa mchango na msaada wenu kuhusu wazo hili.
Mawazo??
Kijana wetu mgombea wa Tanga..tena huyu anastahili kwa sababu nyingi tu nzuri??
Mwangosi?
Wangwe?
Hii ni kiki ya kisiasa...achana nayo
 
Ben hajafa wala hajapotea yupo sehemu anachukua mafunzo maalum.
Ndio maana Mbowe hajastuka taarifa za kupotea kwake ninyi vibaraka msiojua chochote ndio mnaohangaika.
 
Siku akiibuka atakuja na vistory vyake kama vile vya Yeriko
 
Mkonoziiiii!!!!!??????? Hizi tuhuma zitakupoteza ndugu, tuache ushabiki wa kijinga, sheria ya habari na TCRA watakupoteza ndugu, je ushahidi unao wa kutosha, take care,!! Kapotea MTU nawe unakuja na tuhuma za aina hii, bomba radhi humuhumu tutakuombea msamaha.
Tcra wana mambo ya msingi ya kufanya mzee. Huu upuuzi wa ben hauna mashiko. Jamaa kajificha..au labda kalamba sumu ile aliyotaka kumywesha zitto.usicheze na waha wewe..si mliambiwa hata sisimizi hatapona
 
Mkonoziiiii!!!!!??????? Hizi tuhuma zitakupoteza ndugu, tuache ushabiki wa kijinga, sheria ya habari na TCRA watakupoteza ndugu, je ushahidi unao wa kutosha, take care,!! Kapotea MTU nawe unakuja na tuhuma za aina hii, bomba radhi humuhumu tutakuombea msamaha.
Mi nadhani kwanza itafutwe ile sumu aliyotaka kumpa zitto...labda kailamba kwa bahati mbaya
 
Tunataka chama kiupe uzito kupotea kwa Ben. Haiwezekani Ben atafutwe na watu binafsi huku kukiwa hakuna dalili kwa chama kufanya harakati za kujua alipo kijana mwenzetu. Chama kitimize wajibu wake kwa mwanachama wake mwandamizi na serikali pia ifuatilie kujua nini kimetokea.
 
Ben-Rabiu Saanane ni kijana aliyejitokeza katika kizazi hiki kuwa jasiri, mahili na mwenye kipaji cha ajabu katika kujenga hoja. Nyota yake iling'ara si tu ndani ya nchi bali hata nje ya mipaka ya nchi yetu.

Lengo langu leo siyo kuzungumzia aliyofanya Ben bali kuja na wazo la kuanzisha "Trust Fund" itakayojulikana kama "Ben Saanane Trust Fund" kifupi (BSTF).

Lengo la mfuko huu utakuwa siyo tu kumtafuta Ben kokote aliko na kwa wakati wote hata ikipita miaka 20, bali pia utaweza kuisaidia familia yake na mtu yeyote atakayepatwa na tatizo kama hili.

Nimekuwa inspired kuandika hivi na Madeleine's Trust Fund. Hii trust fund ilianzishwa na familia ya McCann ya Uingereza mwaka 2007 mara tu baada ya mtoto wao aitwaye Madeleine kupotea wakati wakiwa mapumzikoni Ureno. Lengo lilikuwa kumtafuta mtoto wao (Leaving No Stone Unturned) ambaye hadi leo hajapatikana, lakini mfuko bado upo unaendelea. Leo mfuko umejitanua kimataifa umeweza kusaidia watoto wengi wenye matatizo mbalimbali duniani kote ki elimu, legal assistance, financial assistance nk.

Mfuko huu (BSTF) utasaidia jamii kutafuta wanaopotea kwa mazingira ya kutatanisha na kutoa taarifa za kiuchunguzi kwa vyombo vinavyohusika.

Karibu kwa mchango na msaada wenu kuhusu wazo hili.
CDM take note of this important suggestion!
 
Familia ya marehemu mawazo walichangisha wabunge wa Chadema na wapenzi wa Chadema mamilioni eti ya kusaidia familia kaulize hata SAA hii familia yake ilipata shilingi ngapi Chadema watoe ripoti watakuwa wakali kama pilipili.Hapa wanataka kutumia Ben saanane kupiga pesa vibaka wakubwa pelekeni zile pesa zaidi ya milioni 100 mlizochangisha mkaipe familia ya marehemu mawazo kwanza kabla ya kuja na porojo mpya hapa.
 
Back
Top Bottom