Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,258
- 34,206
Kuna saa najiuliza shida ni elimu yetu mbovu au ni viongozi tulionao ndio wabovu?
Inakuaje PhD holder wa uchumi unashindwa kuelewa madhara ya haya makato kwenye uchumi wa nchi?
Makamu wa Rais ni PhD holder wa uchumi/fedha na Waziri wa Fedha ni PhD holder wa uchumi kutoka pale jalalani (nimemnukuu Kabudi).
Je, hawa wote wanashindwa mshauri Rais kweli?
Hivi na yule Mshauri wa Rais wa mambo ya uchumi yupo kweli?