Exactly my sentiments, Kuna wizara za kuleta siasa na kufanya Majribio, mfano wizara ya Michezo, wizara ya wanawake na jinsia etc.Wizara ya Afya ni moja kati ya Mihimili mikuu ya Nchi.
Leo hii vinchi viduchu kama Norway,Sweden etc vinasikilizwa dunia nzima kwa kuwa Uchumi wao si wa kubeza.nchi hata iwe kubwa kama DRC, kama uchumi wake wa hovyo hakuna atakayewasikiliza.
Sasa huyu ndugu yetu kaenda kutuwekea Student pale, tena student asiye na "any outstanding" talent kuipeleka nchi mbele. Hebu tujiulize, wakati wenzetu wanateua kina Nobel Laureattes wa uchumi as treasury secretaries sie tunamuweka mtu aliyeshindwa kwenda University through Direct entry. Seriously???
Some people just don't grasp how hard The mathematics in Economic theories are, they are the kind of Maths Engineers avoid, leo hii unampeleka bidada wa style hii kweli? sasa huyu akikutana na Kina Jacob Lew wataongea nini?si atabaki kushangaa tu huyu?
Waziri wa fedha ni kama CFO wa nchi, kuna standards anazotakiwa kuwa nazo, ndio maana kwenye private sectors unaambiwa huwezi kuwa CFO mpaka uwe na CPA etc etc,wanafahamu umuhimu wa hivi vitu.Huwezi kumuweka mtu aliyeunga unga diploma kuwa CFO wa a bilion dollar company. Tanzania tuna GDP ya 20-30 Billion, so most likely we are a very complex $20B company, how can this company finances be put on the hands of such a person?