Waziri wa Fedha amjibu Prof. Lipumba

Waziri wa Fedha amjibu Prof. Lipumba

Hivi lipumba vyeti vyake vimesaidia nini taifa hili make chama chenyewe kimekufa anachokiongoza leo anaanza kugombana na kubishana na watoto wa kike huyu mzee vipi kumbe kuwa na kichwa kikubwa siyo upeo wa mawazo.

ulichokiandika hapa mwenyewe unakiita MAWAZO eeh??
 
Mkuu OLESAIDIMU isije ikawa unataka kuhamishia zile bifu zako za EFD kwa huyu mama!!!! Manake ka' n'na wasiwasi hivi kwamba ulimsikia ile siku wakati akikomalia EFDs........na Wazanzibar wakikomalia kitu, hawana dogo...jiandae tu mkuu wangu na ile lak 8 yetu ya EFDs!!!!!!!!!!!!!!!!!

Ha ha ha haaa kaka NasDaz haina kupasha kiporo kaka hii raw case bhana!!!!
Kwa lile anatakiwa afunge zikaze sababu hela ya mtu huipangii bajeti!!!!
Kwa kukomalia ishu hao nawajua kaka mbona kwa hilo namba zitasomeka!!!!
 
Last edited by a moderator:
Duh kumbe kitu chenyewe beautiful sana tu....king'amuzi cha mtu hicho....
 
Mara mtasikia Prof. Maji Marefu nae kapewa wizara! Maajabu ya uteuzi serikalini Tanzania hayaishi

Inawezekana hata akapewa huyu:
[video=youtube_share;VkVASwRLPl8]http://youtu.be/VkVASwRLPl8[/video]
 
Hivi lipumba vyeti vyake vimesaidia nini taifa hili make chama chenyewe kimekufa anachokiongoza leo anaanza kugombana na kubishana na watoto wa kike huyu mzee vipi kumbe kuwa na kichwa kikubwa siyo upeo wa mawazo.

nabii hakubaliki nyumbani kwao , Prof Lipumba nchi za nje ndo wanamkodi for economic advise japo huku TZ wanamuona mbwiga
 
Tanzania tunakupenda kwa moyo wote lakini kwa hili la Saada Mkuya na wenzake Ministry of Finance Tz ur very disappointing big times
 
Huyu mama hatoshi katika nafasi yake, period. Kama ni uteuzi wa kisiasa kulenga gender equity au muungano, katika nafasi hii mamlaka ya uteuzi ilishauriwa vibaya.

Mbali na changamoto mbalimbali za uchumi wetu ambazo sidhani kama ataweza kukabiliana nazo, pia katika nchi yoyote ile kuelekea uchaguzi mkuu, uchumi wa nchi huyumba. Kwa taifa letu tunakabiliwa na hatari ya kupinduka kabisa.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Raisi mzigo Waziri Mzigo Chama Mzigo Yaani ni mizigo Mpaka kwenye Elimu yake pia Ni mzigo #CCM na Mizigo.. Prof Lipumba Nakukambidhi kura yangu
 
Lipumba is absolutely right. Her credentials and experience are questionable.
unaweza kutufafanulia kwa jinsi ulivyomuelewa profesa ibrahimu lipumba, manake namwona kama angetamani apewe yeye hicho cheo.
 
kumlaumu waziri ni kosa na hata kumlaumu JK ni kosa

JANGA KUU LIKO KWA HAO WASHAURI WA RAIS NA WATAALAM WA VETTING, WAMETULETEA MCHUMI WA UPE
 
Wakati nahoji uwepo wa naibu katibu mkuu kwenye taasisi hii nyeti sikugundua wazir naye anatiliwa mashaka na elimu yake ni wakati muafaka sasa kwa wanataaluma kuhoji elimu ya mh,huyu ,kwani wizara aliyopo hahitaji majaribio
 
kumlaumu waziri ni kosa na hata kumlaumu JK ni kosa

JANGA KUU LIKO KWA HAO WASHAURI WA RAIS NA WATAALAM WA VETTING, WAMETULETEA MCHUMI WA UPE
Wanaofanya vetting nafikiri uwezo wao lazima uwe questioned. Sina ugomvi na JK, lakini he needs to understand that the buck stops with the president!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ilimchukua 4 years for JK to take care of Mulugo issue. We thought this time he would clean up the mess and put the house in order, sasa katuletea maajabu mengine ya akina Nkamia, Nchemba na huyu mama. Ha ha ha
 
unaweza kutufafanulia kwa jinsi ulivyomuelewa profesa ibrahimu lipumba, manake namwona kama angetamani apewe yeye hicho cheo.
Sina ugomvi na profesa kama angepewa hicho cheo which I think would make helluva sense to have Lipumba as a Treasury secretary for this great country.
 
Wanaofanya vetting nafikiri uwezo wao lazima uwe questioned. Sina ugomvi na JK, lakini he needs to understand that the buck stops with the president!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ilimchukua 4 years for JK to take care of Mulugo issue. We thought this time he would clean up the mess and put the house in order, sasa katuletea maajabu mengine ya akina Nkamia, Nchemba na huyu mama. Ha ha ha
NI shame kwa kweli

hata kama ni hujuma, basi hii imezidi
 
Ritz ukipata wasaa tafadhali njoo hapa tuhangaike pamoja.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom