SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
Hahahah elimu ya Zanzibar kisha kaenda abroad Malaysia!!! (Kwa wale wenye ndugu walio/wanaosoma huko ni mashahid wa kiwango), kisha distance learning! Maumivu ya kichwa huanzia hapo hapo! Hahahah msomi! Wazazi wanafurah kuona watoto wao wanaongea english nyumban!! ila hakuna kitu!
Angenyamaza angeheshimika zaid!!
Mkuu nimecheka sana na hayo maumivu ya kichwa na mambo ya distance learning! !!
No wonder huyu mama alificha kuanika amesoma wapi