Waziri wa Fedha amjibu Prof. Lipumba

Waziri wa Fedha amjibu Prof. Lipumba

NO and big NO Minister huyu anaexperience ya miaka mingapi?!! We don't test our country! Halafu worse still deputy ministers Mwigulu Nchemba na Kighoma Malima!! no big no!! kama kuna agenda nyingine tuambizane!! Hivi huu mwaka mmoja ndio wa kumpa uzoefu huyu!! siyo kweli!! Kuna agenda nyingine!!!!!!

KAka Mangikule haya mambo yanaonekana Tanzania tu halafu kazi BOT lazima uwe na experience miaka mi5 wakt minister ndo yupo shule anasomea anachokifanya duh kweli BOT shamba darasa
 
Hapa kuna kitu, akija yule ndugu Msemakweli Kainerugaba akambana sawa sawa utasikia mtu anatangaza kurudi shule. Akina Nchimbi wanaijua habari yake.

Huyo jamaa yuko wapi, aje atufanyie kazi hapa ili mbichi na mbivu ijulikane.
 
Mkulu alisema hamna chuo cha uwaziri. Kwahiyo mtu yeyote anaweza kuwa waziri!!
 
hivi manyerere jackson anataka ukuu wa wilaya kama wenzake amekuwa mtu wa hoja dhaifu anapiga chapuo kwa serikali sana
 
kutoka diploma hadi shahada ya pili wapi na wapi?
elimu yetu imekuwa ya makengeza namna hii?
serikali ya JK ni majanga.
Lipumba is more than right................
 
Hapa mtaani kwangu kwa nyuma ya nyumba yetu kuna jamaa wana Software ya kugushi vyeti vya kila aina na ndio kazi yao, kwahiyo kwa Tanzania watu kua na vyeti vya elimu ya kila aina sio tatizo sana inawezekana! Lipumba tafuta hoja nyingine.
Mkuu kwani employers hawafanyi background check ambayo ina-include education and employment verification? Au mtu akileta resume na vyeti basi anapewa kazi?
 
Hivi lipumba vyeti vyake vimesaidia nini taifa hili make chama chenyewe kimekufa anachokiongoza leo anaanza kugombana na kubishana na watoto wa kike huyu mzee vipi kumbe kuwa na kichwa kikubwa siyo upeo wa mawazo.
Hiyo wizara kwanza sio mhimu ndio maana tumewek wanafunzi Mwigulu anasoma UD na Mkuya OUT ha ha aha aga aga aga ga ga
 
Ritz unaichukuliaje kauli ya Prof Lipumba?
 
Last edited by a moderator:
Minister profile from Parliament web http://www.parliament.go.tz/index.php/members/mpcvs/1776/2010-2015

MEMBER OF PARLIAMENT CV

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 3, align: left"]GENERAL[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Salutation[/TD]
[TD]Honourable[/TD]
[TD="width: 42%, align: center"]Member picture[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]First Name:[/TD]
[TD]Saada[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Middle Name:[/TD]
[TD]Mkuya[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Last Name:[/TD]
[TD]Salum[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%"]Member Type:[/TD]
[TD="width: 38%"]Nominated by the President[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Constituent:[/TD]
[TD]No Constituency[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Political Party:[/TD]
[TD]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Location:[/TD]
[TD]Dar Es Salaam[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office E-mail:[/TD]
[TD]ssalum@parliament.go.tz[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Member Status:[/TD]
[TD]Current Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Date of Birth[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 5, align: left"]EDUCATION[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="width: 35%"]School Name/Location[/TH]
[TH="width: 27%"]Course/Degree/Award[/TH]
[TH="width: 15%, align: center"]Start Date[/TH]
[TH="width: 13%, align: center"]End Date[/TH]
[TH="width: 10%, align: center"]Level[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]Master Of Finance[/TD]
[TD="align: center"]2008[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]MASTERS DEGREE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]Business Study[/TD]
[TD="align: center"]1997[/TD]
[TD="align: center"]1999[/TD]
[TD="align: center"]ADV DIPLOMA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]Courses for The Second Degree in Business[/TD]
[TD="align: center"]2000[/TD]
[TD="align: center"]2002[/TD]
[TD="align: center"]CERTIFICATE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Lumumba[/TD]
[TD="align: center"]'A' Level[/TD]
[TD="align: center"]1993[/TD]
[TD="align: center"]1995[/TD]
[TD="align: center"]HIGH SCHOOL[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Hamamni[/TD]
[TD="align: center"]'O' Level[/TD]
[TD="align: center"]1989[/TD]
[TD="align: center"]1992[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kisiwandui[/TD]
[TD="align: center"]Primary Certificate[/TD]
[TD="align: center"]1982[/TD]
[TD="align: center"]1988[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]EMPLOYMENT HISTORY[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH]Company Name[/TH]
[TH="align: center"]Position[/TH]
[TH="align: center"]From[/TH]
[TH="align: center"]To[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Ministry Of Finance and Economic[/TD]
[TD]Minister Of Finance and Economic[/TD]
[TD="align: center"]2014-01-20[/TD]
[TD="align: center"]2015[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ministry Of Finance and Economic[/TD]
[TD]Deputy Minister of Finance and Economic[/TD]
[TD="align: center"]2012[/TD]
[TD="align: center"]2014-01-20[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Zanzibar[/TD]
[TD]Commissioner of Finance[/TD]
[TD="align: center"]2011[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Treasure Zanzibar[/TD]
[TD]Administratve Officer[/TD]
[TD="align: center"]2006[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Treasure Zanzibar[/TD]
[TD]Officer[/TD]
[TD="align: center"]2003[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]POLITICAL EXPERIENCE[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="class: text_menu, width: 47%"]Ministry/Political Party/Location[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 31%, align: center"]Position[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]CCM[/TD]
[TD]Member[/TD]
[TD="align: center"]2000[/TD]
[/TR]
[/TABLE]





source:
http://www.parliament.go.tz/index.php/members/mpcvs/1776/2010-2015

Duuuuuuh! Kumbe elimu ya znz inaweza kutoa waziri wa fedha...
 
kwa kweli kwa ilimu yake hiyo, natafakari akikutana na ujumbe wa imf or wb itakuaje? halafu watu wa nje kabla ya kukutana na mtu wana penda kufanya background check ili wajue wanakutana na mtu wanamna gani, kwa kweli watatuona hatupo serious katika kujikwamua ki uchumi.
 
Waziri Mkuya alisema elimu yake wala haina mashaka, alisoma kidato cha tano na sita katika Shule ya Sekondari Lumumba mjini Zanzibar.
Baada ya hapo, alijiunga na masomo ya diploma ya Biashara katika Chuo cha Stamford cha Malaysia, ambapo pia alichukua diploma nyingine ya biashara nchini Uingereza kwa njia masafa.

pia amesoma shahada ya pili ya biashara katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) na kuhitimu mwaka 2009.
“amehitimu Shahada ya Uzamili ya Utawala na Biashara (MBA) ya Chuo Kikuu cha WATT kilichopo Edinburgh, Scotland.
“Kwa sasa anachukua Shahada ya Uzamivu (PhD) ya Utawala wa Biashara Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, tawi la Dar es Salaam,” alisema Mkuya.
Wakuunga huwa wajanja
 
mwalimu wangu wa philosophy alinambia Haya....
kuna watu wanazaliwa na bahati.........
kuna watu wanakutana na bahati.........
na kuna watu wanatafuta bahati............
kusoma sana si kubahatika na kubahatika si kusoma sana...b.t.w.... unaweza ukasoma sana ukawa poor ktk utendaji na unaweza ukawa na elimu ndogo but ukawa so creative....sufficient....and ..efficient
 
NO and big NO Minister huyu anaexperience ya miaka mingapi?!! We don't test our country! Halafu worse still deputy ministers Mwigulu Nchemba na Kighoma Malima!! no big no!! kama kuna agenda nyingine tuambizane!! Hivi huu mwaka mmoja ndio wa kumpa uzoefu huyu!! siyo kweli!! Kuna agenda nyingine!!!!!!

Mkuu Mangikule ebu twende pole pole. Kama unawasiwasi na huyu mama basi itabidi upendekeze ni nani anweza kufanya hiyo kazi zaidi na uwe na vidhibitisho! Ninarudia Mkuu wangu, kuwa na vyeti kama PHDs hakuna chochote. Basi ninaomba nikujazie kidogo hapa mini nina master in M engineering na sina Phd na wala siitaki lkn performance yangu kawaulize hao wazungu mnaowapigia magoti na kuwapa mali zetu kwa bei ya che. Nimedeliver katika makampuni yao na sasa nitakuja nao niwafanyie kazi hapo TZ! Tuache mchezo wa vyeti tumpe huyu mama muda afanye kazi yake. Ni makosa makubwa kuanza kuangalia shule sijui degree ipi nk. Cha maana zaidi ni kudeliver regardless ana vyeti vya wapi. Hizo phds za kusoma katika kuunga unga hakuna chochote ndugu yangu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Huu hapa mtihani kwa wana JF, kati ya nchi hizo nne za Scandinavia, kwa kuchambua mabadiliko ya GDP kati ya mwaka 2000 na 2007; ni nchi gani inaelekea kwenye economic crisis?? Atakayepatia basi akaombe nafasi ya kuwa mshauri wa wizara yetu ya fedha, au waziri kabisa!!! Kazi ni kwenu!!

View attachment 135094

The information is not sufficient to determine the economic crisis!
 
Mkuu Mangikule ebu twende pole pole. Kama unawasiwasi na huyu mama basi itabidi upendekeze ni nani anweza kufanya hiyo kazi zaidi na uwe na vidhibitisho! Ninarudia Mkuu wangu, kuwa na vyeti kama PHDs hakuna chochote. Basi ninaomba nikujazie kidogo hapa mini nina master in M engineering na sina Phd na wala siitaki lkn performance yangu kawaulize hao wazungu mnaowapigia magoti na kuwapa mali zetu kwa bei ya che. Nimedeliver katika makampuni yao na sasa nitakuja nao niwafanyie kazi hapo TZ! Tuache mchezo wa vyeti tumpe huyu mama muda afanye kazi yake. Ni makosa makubwa kuanza kuangalia shule sijui degree ipi nk. Cha maana zaidi ni kudeliver regardless ana vyeti vya wapi. Hizo phds za kusoma katika kuunga unga hakuna chochote ndugu yangu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ukiisha anza kuficha taarifa motive yako ina kuwa questionable, sasa kwanini hakuweka taarifa kamilifu kuhusu elimu yake?
 
Eeeh muumba naomba nijaalie maisha marefu Nami nije kuziona CV za side B! amin.
 
The information is not sufficient to determine the economic crisis!

Mkuu tunarudi kule kule huyu anafikiri eti kuelewa hiyo tu ndiyo itakupa uwaziri. mama yangu mzazi! Je kama mtu emeakariri halafu akapata kwa hiyo eti anajua. it is too cheap! Ninarudia tunataka mtu wa kudeliver tu basi. Hayo mavyeti yenu kayafungie kwenye makabati kwani ni ya kuunga na yanapatikana kwenye shule zinazofanya biashara tu kuuza degree! Na watanzania wanakimbilia huko eti kupata u Dr.... Jamani haya ni majanga ya waTZ!!!
 
Back
Top Bottom