mmaranguoriginal.
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,060
- 460
Have mercy on me O Lord!!!!!wasomi hawatiliwi mashaka,,,ondoka na mavyeti yako uliyochongea pale shule uhuru msimbazi!
tupe ushaidi zaidi kiongozi hii ni aibu
Have mercy on me O Lord!!!!!wasomi hawatiliwi mashaka,,,ondoka na mavyeti yako uliyochongea pale shule uhuru msimbazi!
Kwa hiyi mheshimiwa waziri anafanya internship wizara ya fedha? coz phD ni demanding course, atagawaje muda wake ili kuivusha nchi hii? wizara hii ni nyeti mtu hawezi kwenda kufanyia filed practical au intern.
Waziri Mkuya alisema elimu yake wala haina mashaka, alisoma kidato cha tano na sita katika Shule ya Sekondari Lumumba mjini Zanzibar.
Baada ya hapo, alijiunga na masomo ya diploma ya Biashara katika Chuo cha Stamford cha Malaysia, ambapo pia alichukua diploma nyingine ya biashara nchini Uingereza kwa njia masafa.
pia amesoma shahada ya pili ya biashara katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) na kuhitimu mwaka 2009.
amehitimu Shahada ya Uzamili ya Utawala na Biashara (MBA) ya Chuo Kikuu cha WATT kilichopo Edinburgh, Scotland.
Kwa sasa anachukua Shahada ya Uzamivu (PhD) ya Utawala wa Biashara Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, tawi la Dar es Salaam, alisema Mkuya.
NO and big NO Minister huyu anaexperience ya miaka mingapi?!! We don't test our country! Halafu worse still deputy ministers Mwigulu Nchemba na Kighoma Malima!! no big no!! kama kuna agenda nyingine tuambizane!! Hivi huu mwaka mmoja ndio wa kumpa uzoefu huyu!! siyo kweli!! Kuna agenda nyingine!!!!!!Wakuu kila mtu ana haki ya kuongelea haya maswala lkn tukubali kuwa huyu waziri wa fedha alitakiwa kupewa muda ili afanye kazi yake na siyo kuanza kuuliza kama ataimaster wizara hiyo. Tujaribu kuwa fair kwani hata hao mnaowasema wan Dr. etc katika swala la kudeliver ni kama big zero tu! Waambie watoe reports za kuombea fedha au kuandika projects ambazo matokea yake huishia kwenye mafiles wakati fedha zimeisha liwa- hao ndiyo PHds holders wa TZ! Tumuache afanye kazi kwa kipindi fulani halafu hapo tuna haki ya kumujudge na siyo kabla ya hapo. Nyie watanzanina angalia mawaziri wa fedha wa nchi za Uswiss/ ujerumani nk hawana PHDs na wanafanya kazi inaonekana. They are there to DELIVER! Na huyo sijui Prof Lipumba aache hayo maongezi kwani badala ya kumuongelea huyo mama alitakiwa kuangalia home works alizonazo kwenye CUF na anatakiwa kuzifanya badala ya kuwaongelea wengine.
Waziri Mkuya alisema elimu yake wala haina mashaka, alisoma kidato cha tano na sita katika Shule ya Sekondari Lumumba mjini Zanzibar.
Baada ya hapo, alijiunga na masomo ya diploma ya Biashara katika Chuo cha Stamford cha Malaysia, ambapo pia alichukua diploma nyingine ya biashara nchini Uingereza kwa njia masafa.
pia amesoma shahada ya pili ya biashara katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) na kuhitimu mwaka 2009.
"amehitimu Shahada ya Uzamili ya Utawala na Biashara (MBA) ya Chuo Kikuu cha WATT kilichopo Edinburgh, Scotland.
"Kwa sasa anachukua Shahada ya Uzamivu (PhD) ya Utawala wa Biashara Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, tawi la Dar es Salaam," alisema Mkuya.
Kumbe nilikuwa na kila sababu ya kupuuza habari ile. Ina maana source ya Lipumba ilikuwa Tovuti ya Bunge na si kwamba alifanya utafiti na kugundua bi mdada elimu yake ni full magumashi?
Kumbuka na Nchemba naje anasoma Tanzania ni nchi pekee ambayo wanasiasa wanaruhusiwa kuibaka wlimu yetu kumbuka anuel nchimbi aliana kijiita Dr wakata bado ajaanza hata kusoma hiyo phd
Huyu dada naye angenyamaza tu, ukipigwa ikulu si muda wa kupiga makelele, bora kusikilizia mumivu na kujipanga tu.
Sawa, sasa turudi kwa huyo Lipumba! Kakaaa darasani kuanzia darasa la kwanza, probably hadi PhD na wala hakuna ubishi hata kidogo kwamba ni miongoni mwa wasomi wachache kabisa nchini ambao wana shule ya haja! Now tell me, kama hicho ndo kigezo; vyeti hivyo vya kutisha na visivyo na shaka hata chembe vina-reflect mafanikio yake ndani ya CUF? I mean, is there any correlation kati ya qualification zake na ufanisi wa CUF? Manake ninachoona mimi ni kwamba ameshindwa hata na Mbowe mwenye Form VI failure! Manake ninavyoona mimi ameshindwa hata na CUF ya Maalim Seif kule visiwani!Mdada mwenyewe keshasema kwa mdomo wake kama ilivyonukuliwa na Mshino hapo juu. Kwa ufupi elimu yake ni: A level+Diploma+Diploma masafa+Master masafa/huria + PhD masafa (anaihangaikia). Namshauri thesis yake ya PhD iwe na uzamifu kuchunguza uchumi wa nchi yetu: Kwa kuwa Tanzania ni nchi tajiri sana kwa raslimali, kwa nini watu wake wengi ni masikini wa kutupwa na uchumi wake wa kuombaomba?
Lipumba angekuwa kaigusa CHADEMA ungemsifia kwa kuwa kawagusa muwapendao na kwa kuwa UKWELI UNAUMA unaamua kumtukana.Hivi lipumba vyeti vyake vimesaidia nini taifa hili make chama chenyewe kimekufa anachokiongoza leo anaanza kugombana na kubishana na watoto wa kike huyu mzee vipi kumbe kuwa na kichwa kikubwa siyo upeo wa mawazo.
Kumbuka na Nchemba naje anasoma Tanzania ni nchi pekee ambayo wanasiasa wanaruhusiwa kuibaka wlimu yetu kumbuka anuel nchimbi aliana kijiita Dr wakata bado ajaanza hata kusoma hiyo phd
Waziri Mkuya alisema elimu yake wala haina mashaka, alisoma kidato cha tano na sita katika Shule ya Sekondari Lumumba mjini Zanzibar.
Baada ya hapo, alijiunga na masomo ya diploma ya Biashara katika Chuo cha Stamford cha Malaysia, ambapo pia alichukua diploma nyingine ya biashara nchini Uingereza kwa njia masafa.
pia amesoma shahada ya pili ya biashara katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) na kuhitimu mwaka 2009.
"amehitimu Shahada ya Uzamili ya Utawala na Biashara (MBA) ya Chuo Kikuu cha WATT kilichopo Edinburgh, Scotland.
"Kwa sasa anachukua Shahada ya Uzamivu (PhD) ya Utawala wa Biashara Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, tawi la Dar es Salaam," alisema Mkuya.
Kuwa kiongozi lazima ujue wakati gani wa kujibu na wakati gani sio wa kujibu na wakati wa kujibu ujibu kitu gani!
It's obvious huyu kakurupuka kama viongozi wetu wengine, sitoona ajabu kusikia Kuwa alishauriwa na viongozi wengine.
Hoja ni tovuti ya Bunge kilichokuwa kimeandikwa kinatia shaka! Sasa wewe kweli waziri wa fedha unakuja kujitetea ya nini? Halafu ni kweli Elimu yako ya kuungaunga! Na mengine mengi yatakuja Kwa kujitokeza kujibu hili.
Kwa mtazamo wangu aliyetakiwa kujibu hii ni kiongozi wa mawasiliano wa Bunge na sio wewe "Waziri wa fedha"!
NO and big NO Minister huyu anaexperience ya miaka mingapi?!! We don't test our country! Halafu worse still deputy ministers Mwigulu Nchemba na Kighoma Malima!! no big no!! kama kuna agenda nyingine tuambizane!! Hivi huu mwaka mmoja ndio wa kumpa uzoefu huyu!! siyo kweli!! Kuna agenda nyingine!!!!!!
Kwa nini alipokuwa deputy minister hamkupiga unyende?Minister profile from Parliament web Parliament of Tanzania
MEMBER OF PARLIAMENT CV
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 3, align: left"]GENERAL[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Salutation[/TD]
[TD]Honourable[/TD]
[TD="width: 42%, align: center"]Member picture[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]First Name:[/TD]
[TD]Saada[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Middle Name:[/TD]
[TD]Mkuya[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Last Name:[/TD]
[TD]Salum[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%"]Member Type:[/TD]
[TD="width: 38%"]Nominated by the President[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Constituent:[/TD]
[TD]No Constituency[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Political Party:[/TD]
[TD]CCM[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Location:[/TD]
[TD]Dar Es Salaam[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office E-mail:[/TD]
[TD]ssalum@parliament.go.tz[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Member Status:[/TD]
[TD]Current Member[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Date of Birth[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 5, align: left"]EDUCATION[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="width: 35%"]School Name/Location[/TH]
[TH="width: 27%"]Course/Degree/Award[/TH]
[TH="width: 15%, align: center"]Start Date[/TH]
[TH="width: 13%, align: center"]End Date[/TH]
[TH="width: 10%, align: center"]Level[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]Master Of Finance[/TD]
[TD="align: center"]2008[/TD]
[TD="align: center"]2010[/TD]
[TD="align: center"]MASTERS DEGREE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]Business Study[/TD]
[TD="align: center"]1997[/TD]
[TD="align: center"]1999[/TD]
[TD="align: center"]ADV DIPLOMA[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD="align: center"]Courses for The Second Degree in Business[/TD]
[TD="align: center"]2000[/TD]
[TD="align: center"]2002[/TD]
[TD="align: center"]CERTIFICATE[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Lumumba[/TD]
[TD="align: center"]'A' Level[/TD]
[TD="align: center"]1993[/TD]
[TD="align: center"]1995[/TD]
[TD="align: center"]HIGH SCHOOL[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Hamamni[/TD]
[TD="align: center"]'O' Level[/TD]
[TD="align: center"]1989[/TD]
[TD="align: center"]1992[/TD]
[TD="align: center"]SECONDARY[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Kisiwandui[/TD]
[TD="align: center"]Primary Certificate[/TD]
[TD="align: center"]1982[/TD]
[TD="align: center"]1988[/TD]
[TD="align: center"]PRIMARY[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]EMPLOYMENT HISTORY[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH]Company Name[/TH]
[TH="align: center"]Position[/TH]
[TH="align: center"]From[/TH]
[TH="align: center"]To[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Ministry Of Finance and Economic[/TD]
[TD]Minister Of Finance and Economic[/TD]
[TD="align: center"]2014-01-20[/TD]
[TD="align: center"]2015[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ministry Of Finance and Economic[/TD]
[TD]Deputy Minister of Finance and Economic[/TD]
[TD="align: center"]2012[/TD]
[TD="align: center"]2014-01-20[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Zanzibar[/TD]
[TD]Commissioner of Finance[/TD]
[TD="align: center"]2011[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Treasure Zanzibar[/TD]
[TD]Administratve Officer[/TD]
[TD="align: center"]2006[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Treasure Zanzibar[/TD]
[TD]Officer[/TD]
[TD="align: center"]2003[/TD]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]POLITICAL EXPERIENCE[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="class: text_menu, width: 47%"]Ministry/Political Party/Location[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 31%, align: center"]Position[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%, align: center"]From[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%, align: center"]To[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]CCM[/TD]
[TD]Member[/TD]
[TD="align: center"]2000[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
source: Parliament of Tanzania