Waziri wa CUF aiporomoshea CHADEMA matusi!

Status
Not open for further replies.
Context!
Nimesoma mifano yoooote anayoijaribu kuhusosha cdm na vuama vingine kuwa kwa nini wasiitwe ccm B balo ni cuf tu nikaona ni mifano tofauti kabisa km kuteuliwa kuwa member wa kamati fulani, hii italingana na kuwa waziri wa serikali smz kweli? Au makamu wa rais?
Kihusishwa na uccm B kunakuja na mantiki kuwa hiyo serikali inatekeleza ilani ya chama kipi??
Jahazi moja vipi nahodha wawili, au wanapeana zamu.
Cuf inaisimamiaje serilali ilihali na yenyewe imo?
Duni angejikita ktk hili

Mkuu unafikiri kuna dhambi ndogo na kubwa? Hivi sasa unamsikia Baregu akipiga miayo? acha wewe, unajua anavuna shilingi ngapi kwa siku? Subirini tu akimaliza kazi hiyo ya katiba atatangaza kurudi CCM.
 
Juma Duni Haji alivurugwa sana na "Comando" Salmini pale alipomuweka jela yeye na wenzake kwa zaidi ya miaka miwili. Akili ya JDH haitarudi milele.

Umenikumbusha sasa...huenda alipata tatizo la kiakili alipowekwa kizuizini kwa sababu haingii akilini mtu mzima kuandika utumbo huu.
 
Hivi hii makala unategemea kweli vilaza wailelewe? Sidhani kama kuna mtu pale CDM wa kuielewa, kidogo labda ZZK, Mdee na Mnyika. Subiri vilaza wengine( SLAA, MBOWE, NASARI, SUGU, HECHE, LISSU)na wengine kama hao watakavyofyatuka, teh teh teh, ama kweli JUMA DUNI HAJI ni kichwa.

Hukua na haja ya kuquote makala yote ikiwa unahoja dhaifu kiasi hiki.... Kwani Umekuja lini JF mkuu?? "Ama kweli Sikuzote chizi huwaona wengine wote ndiyo machizi isipokua yeye tu" STEVEN KANUMBA, Crazy love..!
 
Kilichobaki sasa ni Juma Duni Haji aombe Mdahalo na SLAA au Mbowe ili awamalize kabisa.
 
Hukua na haja ya kuquote makala yote ikiwa unahoja dhaifu kiasi hiki.... Kwani Umekuja lini JF mkuu?? "Ama kweli Sikuzote chizi huwaona wengine wote ndiyo machizi isipokua yeye tu" STEVEN KANUMBA, Crazy love..!
Kwa hiyo unadhihirisha u-kichaa wako siyo?
 

Ni wananchi wa Zanzibar si wanachama wa vyama waliopiga kura ya maoni. Tunapokutana katika Baraza la Mawaziri hatukutani viongozi wa vyama, bali ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi (si Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi) wanaokutana na kujadili masuala ya maendeleo ya nchi yao na wala si maendeleo ya vyama vyao.


sasa hao wanachama wa vyama wao ni wanyama? si ndio wananchi wa zanzibar au? tatizo la kuandika huku umezima taa ndio hilo
 
Namshukuru Mungu hajanipa uwezo wa kufikiri Kizanzibarizanzibari maana.................:poa
 
Ni bora CCM wabaki madarakani kuliko CUF- by CDM
Ni bora CCM wabaki madarakani kuliko CDM- by CUF

Just remind yourself one of most famous quote from ADOLF HITLER's
"The leader of genius must have the ability to make different opponents appear as if they belonged to the one category"

Soon people will realize that JK is one of the strongest man in this country! loh.................., kweli CCM inajua kuzichanga karata zake vyema chini ya mwenyekiri wao shupavu.
 
ndugu torokoko umejiunga jamiiforums lini vile.

What is your point?? Kwani hata kama kajiunga leo au mwaka 2006, inamaana gani?? Tabia kama hii yako ni mbaya hata kwenye maisha ya kawaida, unaonekana wewe ni selfish na self centered.
 
Hapana shaka makala hii Duni ameiandika akiwa full mzuka chumbani na mmewe ccm-A
.
 
Lugha na mifano alootumia JDH ni ile utakayoisikia kwa makuli ukitembelea bandarini au jela kwa mahabusu na wafungwa. Commando Salmini aliwajua hawa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom