Huyo jamaa yako alitaka kuona maambukizi yanaisha baada ya maombi ya siku 3, haikuwa hivyo, akaanza kuagiza watoe taarifa za wanaopona na akasema wapo 100, ni kipimo gani kilitumika, nobody knows.Kama machines hazifanyi kazi au waliopo hajui kupima, taarifa mbovu zitakuwa na faida gani kwa umma?!
Ungeona kwamba hii ni step moja kutusaidia umma kupata accurate and precise information.
Hatutaki uongo, na wanaenda kurekebisha tupate ukweli na uhakika, what's wrong with that?!...
Siasa ni mbaya sana...
Sent using Jamii Forums mobile app