Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, aagiza kusimamishwa kazi kwa Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii na Meneja udhibiti na ubora

Kama machines hazifanyi kazi au waliopo hajui kupima, taarifa mbovu zitakuwa na faida gani kwa umma?!

Ungeona kwamba hii ni step moja kutusaidia umma kupata accurate and precise information.
Hatutaki uongo, na wanaenda kurekebisha tupate ukweli na uhakika, what's wrong with that?!...
Huyo jamaa yako alitaka kuona maambukizi yanaisha baada ya maombi ya siku 3, haikuwa hivyo, akaanza kuagiza watoe taarifa za wanaopona na akasema wapo 100, ni kipimo gani kilitumika, nobody knows.

Siasa ni mbaya sana...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Changamoto inahusu maabara, lakini katika hiyo kamati wataalam wenyewe wa maabara wapo wawili tu, tena wastaafu. Hii imekaaje?
 
Hongera zake ingawa hii kamati haipo sawa/ huru kwa sababu imesheheni wataalamu wetu wa afya ambao wanaweza kulindana kwa namna moja au nyingine.

Ingekuwa vyema kama wataalamu wa kada zingine wangewekwa katika kamati hiyo ili kuweka mizani katika hali ya usawa.
hapan kabisa, hao wataalamu wa kada zingine waingie hapo kufanya nini?
 
PCR zimeonyesha uhakika. Fake vingi ni rapid test. Ili mashine ionekane fake. Weka same samples kwenye mashine tofauti.

Katika sayansi lazima uprove hypothesis yako kwa kufanya experiment. Ili uprove machine A ni fake weka same samples kwenye machine tano tofauti, ili uchuje pumba na mchele.
quiet an idea in the middle of the storm
 
Kudeal na Corona kunaanza na kushughulikia wataalam wazembe, Acha kupotosha wewe jitihada zote za serikal ikiwemo kupeleka Ndege Madagascar hauoni tuu?
 
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kuwasimamisha kazi Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii, Dr. Nyambura Moremi na Jacob Lusekelo Meneja uthibiti na ubora ili kupisha uchunguzi.

Nimejibu Maswali kuhusu Vipimo vya Corona kwenye video hii kwa kupitia BBC Swahili:
Je papai na mbuzi wanaweza kuwa na Corona?
 
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kuwasimamisha kazi Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii, Dr. Nyambura Moremi na Jacob Lusekelo Meneja uthibiti na ubora ili kupisha uchunguzi.

Sasa wameanza kushughulika na wataalam badala ya kudeal na Corona

Yaani Leo mzee amenichekesha Sana.. Eti hizi ndio Sampo walizopeleka maabara kupima corona.jpg

Hizi ndio Sample tulizo zipeleka Maabara kupima Corona Virus.
 
Back
Top Bottom