Waziri Ummy: Marufuku Wakuu wa Mikoa na Wilaya kuingiza Siasa kwenye taaluma ya Uuguzi

Gwajima comedian ndio anaimudu wizara ya Afya?! Huyo mama unampenda sana!
Sio bure tu naangalia maslahi yangu siku nikifika kupewa huduma walau ziwe bora. Nina imani na Dr Gwajima kubadilisha mambo unaweza mchukulia poa anapoongea au ukiangalia demeanour zake zinaonekana kama za Mwajuma Ndala ndefu, ila aminia yule mama anaifahamu hiyo wizara head to toe.
 
Mama Ummy Mwalimu najua una account hapa JF au watu wako wapo humu...hebu weka mtego kwa huyu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Wilaya ya Nyamagana!

Mbona kazidi kuwadhalilisha watumishi wa Afya na hasa Wauguzi, vitengo vyote kavishikilia yeye hata mambo ya kijinga ni yeye....mfano kuna kisa kilitokea ambapo miti ilikatatwa ili kupisha ujenzi hapo, sasa kama unvyojua gharama za mkaa na gesi ilivyo, watumishi wakagawana ile miti kama kuni..hilo jambo likamuuma Daktari akawaita Jeshi la Magereza na kuwagawia zile kuni alizowanyanganya watumishi...tuliokuwepo tulijiuliza maswali mengi juu ya akili za Mgaga wao Mkuu!.

Kuna mengi kuhusu huyu mtu kuanzia ushirikina, ufuska kwa kuwaghiribu Manesi ili awape nafasi za upendeleo mfano mradi wa "male circumsision" nk.

Ndebile ni mtumishi wa Afya aliyeacha kazi na kuwa mchimbaji mdogo wa madini kwahiyo hii ni taarifa tu kutoka kwangu kama raia mwema tu!
 
Maneno matupu hatakuwa na msaada wa kutosha ,Katiba mpya ichukue nafasi yake ili tuishi kwa usawa ktk mfumo wa kikatiba ,,maneno watu husahu lakini katiba hulinda na kuwa watu nguvu kutetea haki za watu!
 
Mara ya mwisho mkuu wa wilaya kukamata Daktari ilikuwa lini? Halafu hayo mambo yalikuwa kawaida yeye alipokuwa waziri wa afya, siku kukiwa na shida viongozi wanakimbilia kwa Dr Gwajima...
Wakuu wa wilaya na mikoa wako chini yake, lazima atoe tamko kuzibiti ma-RC na ma-DC kukiuka sheria na kuonea watu
 
Waziri wa Tamisemi Ummy Mwalimu amesema ni marufuku kwa wanasiasa kuingilia taaluma ya Uuguzi..
Wigo wa kauli yake,aongeze na kwa Taaluma zingine,wanasiasa waache kutoa matamko dhidi ya kazi za kitaalamu.

Taarifa za kitaalamu,wanasiasa waache wataalamu waite vyombo vya habari na kutoa taarifa katika taarifa wanayoiandaa,sio wanasiasa " kutumia taarifa za wataalamu kutengeneza kiki".

Hii kauli inawahusu wanasiasa wa ngazi za juu mpaka chini.
 
Mama Ummy Mwalimu najua una account hapa JF au watu wako wapo humu...hebu weka mtego kwa huyu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Wilaya ya Nyamagana! Mbona kazidi kuwadhalilisha watumishi wa Afya na hasa Wauguzi...
Kwahiyo kwako wewe unaona hospital kama taasisi ya serikali kuwagawia miti/kuni magereza ambao pia ni taasisi ya serikali kwako ni kosa?! Pengine ingekuwa hoja kama ameuza miti hiyo na kuweka fedha mfukoni kwake. Leta hoja badala ya vioja.
 
Huyo waziri Ummy anapiga siasa za kichovu na kuchekesha walionuna. Kwa taarifa yake hakuna Mkuu wa mkoa wa wilaya anamuogopa, maana wao ndio waliratibu na kusimamia uchaguzi uliowaingiza ccm madarakani. Sasa kama walijiingiza kwenye siasa, hadi yeye akawa mbunge hatimaye waziri, ni kipi atawazuia kufanya? Isitoshe huyo waziri Ummy sio aliyewateua hao wakuu wa mikoa na wilaya, hivyo hana lolote anaweza kuwafanya.
Ana uwezo mkubwa wa kuwachongea.

Amandla...
 
Huyo Waziri hana uwezo wa kumchukulia hatua Mkuu wa Mkoa yeyote, HANA.

Mawaziri na Wakuu wa Mikoa wote wako "pool" moja. Anaweza akashauri tu.

Aache kudemka na yeye na kubweka bweka hovyo. Kuwekwa hapo it doesn't mean yeye ni wa pekee kuliko aliyemtangulia, ni hiyo hiyo SIASA ndio imemuweka hapo. Apeleke uswahili wake huko! Ala!
 
Ni muhimu sana hili likazingatiwa.
Pia watumishi wa afya waache kuchomeana
Mmmghhhh nyie bendera fuata upepo mnakera sana, nyie si ndio mlishangilia yule Muuguzi wa Kilimanjaro kukatwa mshahara wake kwa kifo cha Mama mzazi?? Nyie MATAGA ni konyo kweli, mko kama sigara kali
 
Huyo waziri Ummy anapiga siasa za kichovu na kuchekesha walionuna. Kwa taarifa yake hakuna Mkuu wa mkoa wa wilaya anamuogopa, maana wao ndio waliratibu na kusimamia uchaguzi uliowaingiza ccm madarakani. Sasa kama walijiingiza kwenye siasa, hadi yeye akawa mbunge hatimaye waziri, ni kipi atawazuia kufanya? Isitoshe huyo waziri Ummy sio aliyewateua hao wakuu wa mikoa na wilaya, hivyo hana lolote anaweza kuwafanya.
We ndiye unapiga porojo, kwa hiyo wewe kwa akili zako kizibo unaona ni halali DC au RC kumuweka ndani mtumishi?!. Wapumbavu Kama nyie ndiyo mnaturudisha nyuma maana akili zenu ziko matakoni na si kwenye ubongo.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Pia hata yeye Ummy ,wakati akiea Wizara ya Afya alikatazwa kuguata ushauri wa wataalamu wa Afya,hadi akakatazwa kutangaza idadi ya wagonjwa wa Corona,kwa maelekezo ya mwana siasa/mwendazake.

Au Anafikili sisi wote ni Nyumbu wa kijani tumesahau?
 
Pia hata yeye Ummy ,wakati akiea Wizara ya Afya alikatazwa kuguata ushauri wa wataalamu wa Afya,hadi akakatazwa kutangaza idadi ya wagonjwa wa Corona,kwa maelekezo ya mwana siasa/mwendazake,
Au Anafikili sisi wote ni Nyumbu wa kijani tumesahau?
Duh!
 
We ndiye unapiga porojo, kwa hiyo wewe kwa akili zako kizibo unaona ni halali DC au RC kumuweka ndani mtumishi?!. Wapumbavu Kama nyie ndiyo mnaturudisha nyuma maana akili zenu ziko matakoni na si kwenye ubongo.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app

Sio sahihi, lakini huyo waziri hana lolote anaweza kuwafanya hao maRc na maDC. Naona umeshapanick, wakati huyo waziri hana ubavu wa kuwafanya lolote hao wahuni wenzake.
 
Back
Top Bottom