Hawa jamaa wanajenga barabara nyeti utadhani wako kwenye majaribio. Wako slow sana wallahBarabara inayopitia bandarini dar iko katika ujenzi!
Lakini kasi ya ujenzi iko taratibu sana!
Hili linawagusa pia mamlaka za usimamizi kwa kushindwa kumuelekeza mkandarasi umhimu na uharaka wa barabara hiyo kiuchumi!
Haiwezekani barabara kama ile ambayo ni lango la kuu la mizigo kimataifa ikajengwa kwa speed ya kawaida kama vile barabara ya Mwanarumango au buza kwa mparange!
Haiwezekani kabisa barabara kama hiyo mkandarasi akafanya kazi SAA 8 tu kwa siku yenye 24hrs!
Viongozi wenye dhamana na ujenzi huo, Mkandarasi anapataje mda wa kulala usiku na kufanya kazi mchana?
Kipande cha 2km kinachoweza kujengwa miezi miwili nyie mnataka mjenge miaka miwili kweli?
...Haya bhana shauri yenu!!!
We kweli hamnazo. Hii barabara imeanza kujengwa kabla ziraili hajafanya mambo yake.... na speed ilikuwa hii hii... kama wangekuwa makini mwendazake angeizindua hii barabara...Tuliwaonya kuwa wanaoshangilia kifo cha Magufuli wana jambo lao wewe ukapuuza vipi leo na wewe umegawiwa hizo hela za funga mwaka wa bajeti?
Au wewe ni kushangilia tu
Barabara ya Mwenge - Morocco ilijengwa kwa kasi sana. Matokeo yake haikuchukua muda mrefu ikaharibika kwa kasi pia.Tuliwaonya kuwa wanaoshangilia kifo cha Magufuli wana jambo lao wewe ukapuuza vipi leo na wewe umegawiwa hizo hela za funga mwaka wa bajeti?
Au wewe ni kushangilia tu
Nilishaachana nahio njia kabisa! ikiisha mnishtue wakuu.Hawa jamaa wanajenga barabara nyeti utadhani wako kwenye majaribio. Wako slow sana wallah
Inasababisha foleni balaa.Nilishaachana nahio njia kabisa! ikiisha mnishtue wakuu.
Wee nae !sijui unaongea nini, kwahiyo unamaanisha kauwawa kwa nderemo na vifijo? Au watu wasingeshangilia ndiyo angefufuka?Tuliwaonya kuwa wanaoshangilia kifo cha Magufuli wana jambo lao wewe ukapuuza vipi leo na wewe umegawiwa hizo hela za funga mwaka wa bajeti?
Au wewe ni kushangilia tu
Na waziri yupo? Mkurugenzi yupo, RC yupo, DC yupo, Tanroad wapo, consultant yupo, na wote hao wanalipwa mishahara na posho na magari ya shangingi lakini HAWAONIHawa jamaa wanajenga barabara nyeti utadhani wako kwenye majaribio. Wako slow sana wallah
HakikaWe kweli hamnazo. Hii barabara imeanza kujengwa kabla ziraili hajafanya mambo yake.... na speed ilikuwa hii hii... kama wangekuwa makini mwendazake angeizindua hii barabara...
Unazungumzia hili daraja hapa selander bridge?
Hivi lina kazi gani ya ZIADA sijawahi uliza.
Destination yake ni wapi?
HahahWenye vitambulisho ya TPA sasahivi tunajiona tumepatia maisha.
Unaingia 7/8 unatokea no 2, Maisha yanaenda.
Kabla niwe na ID nilikuwa nawatamani sana watu wanavokunja pale sisi tunapambana na foleni ya round about ya bandari na Puma.
Sasa hivi mterezo, dk 5 nipo nyuma ya central.
Sio kweli kila kitu kina end date yake na comissioning date yake ndio maana Magu akipokuwa akiingia ubia na kandaras muda ukipita anakuzingua,contractors smtyms wanachukua hela wanaigawanya ktk miradi mingine,kazi inasimama,tujiulize contract imekaaje mwisho ni lini then kuanzia hapo tutajua,sio kuteteana au kusimanganaBarabara ya Mwenge - Morocco ilijengwa kwa kasi sana. Matokeo yake haikuchukua muda mrefu ikaharibika kwa kasi pia.
Tuache kuingilia mambo ya kitaalamu. Tatizo letu wabongo tunajua kila kitu