Waziri Pindi Chana ana matatizo gani?

Waziri Pindi Chana ana matatizo gani?

Anatajwa kama mtu mtata na mwenye majibu ya shombo, Balozi huyu na sasa Waziri wa Michezo, kuna mtu alinipa ushahidi pale Nairobi akiwa Balozi wafanyakazi walimkoma kuanzia dereva wake hadi wafagiaji.

Hapa ugomvi wake na Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii ulikuwa at the peak, Katibu Mkuu akijidai ni Profesa na yeye akijidai ni Mwanasheria msomi tena Balozi na tena Waziri hadi Rais Samia akaamua kuwatoa wote

Kwa kuwa humu JamiiForums ina watu kibao waliosoma naye na kufanya kazi pamoja watueleze kwa undani huyu mama kipi kinamsumbua

View attachment 2518634

USSR
Kwa tuliosoma Saikolojia na Kuibobea vyema kupitia tu hii Picha yake hapa inamuelezea yafuatayo.....

1. Mjeuri Kupitiliza
2. Ana Dharau
3. Mwenye Kiburi
4. Ana Roho Mbaya
5. Mbishi
6. Elimu yake haijamkomboa
7. Mkoloni ( Mnoko ) sana
 
Hili mnoko kutumiwa na watu 35+ kwa hapa Tanzania

USSR
 
Labda ni uzuri wake ndio umsumbua
Anatajwa kama mtu mtata na mwenye majibu ya shombo, Balozi huyu na sasa Waziri wa Michezo, kuna mtu alinipa ushahidi pale Nairobi akiwa Balozi wafanyakazi walimkoma kuanzia dereva wake hadi wafagiaji.

Hapa ugomvi wake na Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii ulikuwa at the peak, Katibu Mkuu akijidai ni Profesa na yeye akijidai ni Mwanasheria msomi tena Balozi na tena Waziri hadi Rais Samia akaamua kuwatoa wote

Kwa kuwa humu JamiiForums ina watu kibao waliosoma naye na kufanya kazi pamoja watueleze kwa undani huyu mama kipi kinamsumbua

View attachment 2518634

USSR
 
Anatajwa kama mtu mtata na mwenye majibu ya shombo, Balozi huyu na sasa Waziri wa Michezo, kuna mtu alinipa ushahidi pale Nairobi akiwa Balozi wafanyakazi walimkoma kuanzia dereva wake hadi wafagiaji.

Hapa ugomvi wake na Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii ulikuwa at the peak, Katibu Mkuu akijidai ni Profesa na yeye akijidai ni Mwanasheria msomi tena Balozi na tena Waziri hadi Rais Samia akaamua kuwatoa wote

Kwa kuwa humu JamiiForums ina watu kibao waliosoma naye na kufanya kazi pamoja watueleze kwa undani huyu mama kipi kinamsumbua

View attachment 2518634

USSR
Kinacho msumbua cha kwanza ni naturally in-born character ya ufupi.Watu wafupi ni watata sana!
 
LEADERSHIP 101:

What is Flexible Leadership?
The most effective leaders can connect with anyone. They are flexible in their own style, which makes the other person comfortable and able to contribute their best to the conversation or interaction. Well aware of the turbulence that is part of modern business, flexible leaders embrace change and are open to new ideas. They are able to lead and manage.
 
Kwa kuwa humu JamiiForums ina watu kibao waliosoma naye na kufanya kazi pamoja watueleze kwa undani huyu mama kipi kinamsumbua
USSR
Mkuu USSR, Pindi Chana hana tatizo lolote as tatizo ila Wizara ya maliasili na utalii ndio yenye tatizo!. Hii ni Wizara very tempting hivyo ukiwa muadilifu utawaudhi watu!.
Huyu Waziri ni born again, sasa mtu ukiwa a born again atazishinda temptations zote!, huwezi kushiriki zile mambo za ajabu ajabu za asali za Wizara hiyo na hata huko michezo na utamaduni nako hata naweza! haswa upande wa utamaduni zile mambo night clubs zinaenda kinyume cha imani yake!. Just imagine Pindi Chana Mgeni rasmi fashion show ya beach wear!.

Mtu ukiwa strict, firm, no nonsense lady, hutoi, mguu upande hukai!, alafu unapewa kazi ya kulinda sinia la nyama huku umezungukwa na mafisi yenye njaa na uchu wa nyama hiyo!.

Angalia tarehe ya bandiko hili Vita ya Ubunge CCM 2015 yaanza; Pindi Chana adaiwa kumvaa Filikunjombe
Huyu ndiye Pindi Chana.
P
 
Back
Top Bottom