Kwa kauli hii sidhani kama unatosha kumuoa huyu Dada aka Mh WaziriTuwe tunaangalia wanawake wakuoa. Huyo Pindi hana haina ya kuwa mke wa mtu.
Angalia unywele ulivyoshuka huo mkuu........Huyo singasinga alipigwa hapo.
Hakuna dalili za uponjoro. Ana muonekano wa kichaga zaidi.
Hivi watu mnapoandika mambo kama haya mnakuwa mmeyatoa wapi?unaushahidi wa hilo unaloliongea,na kama umeambiwa ana ushahidi gani na aliyekwambia?Usikute ulieandika haya ni muumini mzuri,na ijumaa au jumapili unaenda kuswali,Mwenyezi Mungu tuepushe na fitna.Alitalikiana na mumewe. Professor Norman Sigala. Ambaye alikuwa mbunge wa Makete 2015-2020.. Na amekuwa anamloga sana huyo jamaa hadi sasa kafirisika licha ya kupata vyeo vingi serikalini na kuwa na biashara nyingi.
Kweli husda mbaya sana, huyo chotara pure na ndugu zake wote, ingawa mama yake alikuwa mweusi tii, tena mchapa kazi, nende Iringa utapata story zake vizuriAngalia unywele ulivyoshuka huo mkuu........
Wadada wa chama cha mambuzi aka "vigodoro/majamvi" hawana kitu cha maana cha kujadili zaidi ya umbeya na majungu.Mkuu umeleta tuhuma, maswali au majungu?
Waume zao watakuwa walikula kibogo si bure binti umevunja ungo jana kelele kila barWadada wa chama cha mambuzi aka "vigodoro/majamvi" hawana kitu cha maana cha kujadili zaidi ya umbeya na majungu.
Ukiwa empty kichwani ni hasara kubwa sana kwa ndugu, jamaa, marafiki, majirani na taifa kwa ujumla.
Ndio hawa vijana wa mambuzi walivyo hasara.
Upendeleo umekithiri awamu hii.Kweli huyu mama ni mdini kupita kiasi, Mkoa wa Pwani mawaziri 4 na Tanga 3 wote ni waislam bado Zanzibar, Arusha na Dar hakuna Waziri hata mmoja
Kwani lazima Arusha kutoa waziri? kuna mikoa kibao hawana mawaziri wala manaibu mawaziri na hawalalamikiUpendeleo umekithiri awamu hii.
Arusha hakuna waziri hata wa dawa.
Kama hao wengine wanaona ni sawa na wakaamua kukaa kimya hayo ni maamuzi yao.Kwani lazima Arusha kutoa waziri? kuna mikoa kibao hawana mawaziri wala manaibu mawaziri na hawalalamiki
Jf mtambo wa kurekebisha tabia.Mkuu umeleta tuhuma, maswali au majungu?
Nisingejua kama nisingekuwa karibu na Prof.Hivi watu mnapoandika mambo kama haya mnakuwa mmeyatoa wapi?unaushahidi wa hilo unaloliongea,na kama umeambiwa ana ushahidi gani na aliyekwambia?Usikute ulieandika haya ni muumini mzuri,na ijumaa au jumapili unaenda kuswali,Mwenyezi Mungu tuepushe na fitna.
Huyu binti hana njaa,kwa sisi tunayemfahamu kwao kuko njema toka zamani
Mbona kama matatizo unayajua?Anatajwa kama mtu mtata na mwenye majibu ya shombo, Balozi huyu na sasa Waziri wa Michezo, kuna mtu alinipa ushahidi pale Nairobi akiwa Balozi wafanyakazi walimkoma kuanzia dereva wake hadi wafagiaji.
Hapa ugomvi wake na Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii ulikuwa at the peak, Katibu Mkuu akijidai ni Profesa na yeye akijidai ni Mwanasheria msomi tena Balozi na tena Waziri hadi Rais Samia akaamua kuwatoa wote
Kwa kuwa humu JamiiForums ina watu kibao waliosoma naye na kufanya kazi pamoja watueleze kwa undani huyu mama kipi kinamsumbua
View attachment 2518634
USSR
Yaani unapozungumzia tuhuma ya mtu ni kwamba uwe umemuona,siyo kwa kusikiaNisingejua kama nisingekuwa karibu na Prof.
Yaani ningeweza kuyajua haya kwa kutunga? Kwani kuwa njema na ushirikina vinahusiana nini?
Ukiniuliza Leo mtanzania mwenye bahati ya vyeo nitakwambia Pindi Chana. Kichwani empty halafu anabebwa tu. Bora Wema Sepetu apewe wizara kuliko huo mzigo.Anatajwa kama mtu mtata na mwenye majibu ya shombo, Balozi huyu na sasa Waziri wa Michezo, kuna mtu alinipa ushahidi pale Nairobi akiwa Balozi wafanyakazi walimkoma kuanzia dereva wake hadi wafagiaji.
Hapa ugomvi wake na Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii ulikuwa at the peak, Katibu Mkuu akijidai ni Profesa na yeye akijidai ni Mwanasheria msomi tena Balozi na tena Waziri hadi Rais Samia akaamua kuwatoa wote
Kwa kuwa humu JamiiForums ina watu kibao waliosoma naye na kufanya kazi pamoja watueleze kwa undani huyu mama kipi kinamsumbua
View attachment 2518634
USSR
Yamemlevya.Madaraka
100%Atakuwa anajiona mzuri na shepu lake ka box la karata.
Sema wazi alikuwa mchepuko.Ana haki ya kuwa na jeuri kwani yupo ndani chama kitambo sana. Halafu aliyemuweka chamani na kwenye cyle ya leadership ni mmoja ya wazee wazito sana ndani ya nchi hii.
Labda aginite ndiyo maanaMbona mna mchamba sana segito wa watu jamani ??[emoji23][emoji23]