Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 40,017
- 51,149
Acha kutaja taja majina ya watu bila kuwa na uhakika ili nawe uonekane kuna unalojua.Gambo acha nongwa fanya kazi uliyotumwa sio lazima uwe waziri
Acha kutaja taja majina ya watu bila kuwa na uhakika ili nawe uonekane kuna unalojua.Gambo acha nongwa fanya kazi uliyotumwa sio lazima uwe waziri
. Tabia unazoelezea hapo ndo zinazalisha watataHuyu dada alikuwa anatabia nzuri sana, ni wale watoto ambao pesa ilikuwepo halafu bado shule akili ipo,hakuwa na makundi, mda wote nyumbani, sasa sijui kama kabadilika ukubwani
Kila awamu ikingia lazima iwe na upendeleo,lazima kuna watu watafaidika na awamu iliyopoUpendeleo umekithiri awamu hii.
Arusha hakuna waziri hata wa dawa.
DuhHuyu ni mzaliwa wa Ludewa. Mume wake Mr Norman walitalikiana baada ya ugomvi wa muda mrefu akimtuhumu mkewe kuwa ni mchawi na kwamba huwa anatembea na nyoka kwenye handbag yake. Kifupi ni kwamba huyu mama ni mkorofi sana.
Uwaziri haupewi kwa kulalamika jf.[emoji3061]Kama hao wengine wanaona ni sawa na wakaamua kukaa kimya hayo ni maamuzi yao.
Sisi tunaona sio sawa na tunalalamika na maamuzi yetu yaheshimiwe kama hao walioamua kukaa kimya.
Hii point ni muhimu Sana Kwa kuanzia.... Mjadala uanzie hapaMie niulize swali kabla ya kuchangia, je ameolewa?
Unajua walikutana wapi?Nisingejua kama nisingekuwa karibu na Prof.
Yaani ningeweza kuyajua haya kwa kutunga? Kwani kuwa njema na ushirikina vinahusiana nini?
Unamjua SALIM ahamed SALIMSi kweli, Mpare yule..si mmeru! Unamjua Mama Mkwizu??!
Na mashavu yake yaleAtakuwa anajiona mzuri na shepu lake ka box la karata.
Mangula ndo kamuweka na ndiye alifanya mpaka kuwa anapata uteuziAna haki ya kuwa na jeuri kwani yupo ndani chama kitambo sana. Halafu aliyemuweka chamani na kwenye cyle ya leadership ni mmoja ya wazee wazito sana ndani ya nchi hii.
Ni mpare na sio mmeruAngera kailuki ni mmeru yule anatokea Arusha kuwa makini
USSR
Hujamsoma mwamba anataka aone kama Mhe. Anayo churaHagombei umiss huyo
Wewe mtu mbad sana aseeHuna picha yake in full? Tunataka kumwona hadi miguuni. Nyuma, mbele. Lete picha kamili tafadhali, achana na hii passport size.
MtoniUnajua walikutana wapi?
huyo sio Mhehe ni Mbena asili yao pale ilembula kwa akina ChanaMama Mnyalukolo wa Njombe baba Singasinga
basi umemalizaMama Mnyalukolo wa Njombe baba Singasinga