Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 26,476
- 40,100
MkuuAnatajwa kama mtu mtata na mwenye majibu ya shombo balozi huyu na sasa waziri wa michezo,kuna mtu alinipa ushahidi pale Nairobi akiwa balozi wafanyakazi walimkoma kuanzia dereva wake hadi wafagiaji.
Hapa mgomvi wake na katibu mkuu ulikuwa at the peak profesa akijidai ni profesa na yeye akijidai ni mwanasheria msomi tena balozi na tena waziri hadi rais Samia akaamua kuwatoa wote
Kwa kuwa humu jamiiforumu ina watu kibao walisoma naye na kufanya kazi pamoja watueleze kwa undani huyu mama kipi kinamsumbua
USSR
Kaa kwa kutulia kisha andika vizuri ili hoja iwe na nyama