Waziri Pindi Chana ana matatizo gani?

Waziri Pindi Chana ana matatizo gani?

Kweli husda mbaya sana, huyo chotara pure na ndugu zake wote, ingawa mama yake alikuwa mweusi tii, tena mchapa kazi, nende Iringa utapata story zake vizuri
Basi mama yao ana damu kali
Haonekani kama ni chotara sanasana maji ya kunde
Mana tunda tu ni mweupe sana kwa huyu na tunda si halfcaste
 
Anatajwa kama mtu mtata na mwenye majibu ya shombo, Balozi huyu na sasa Waziri wa Michezo, kuna mtu alinipa ushahidi pale Nairobi akiwa Balozi wafanyakazi walimkoma kuanzia dereva wake hadi wafagiaji.

Hapa ugomvi wake na Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii ulikuwa at the peak, Katibu Mkuu akijidai ni Profesa na yeye akijidai ni Mwanasheria msomi tena Balozi na tena Waziri hadi Rais Samia akaamua kuwatoa wote

Kwa kuwa humu JamiiForums ina watu kibao waliosoma naye na kufanya kazi pamoja watueleze kwa undani huyu mama kipi kinamsumbua

View attachment 2518634

USSR
Huna picha yake in full? Tunataka kumwona hadi miguuni. Nyuma, mbele. Lete picha kamili tafadhali, achana na hii passport size.
 
Anatajwa kama mtu mtata na mwenye majibu ya shombo, Balozi huyu na sasa Waziri wa Michezo, kuna mtu alinipa ushahidi pale Nairobi akiwa Balozi wafanyakazi walimkoma kuanzia dereva wake hadi wafagiaji.

Hapa ugomvi wake na Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii ulikuwa at the peak, Katibu Mkuu akijidai ni Profesa na yeye akijidai ni Mwanasheria msomi tena Balozi na tena Waziri hadi Rais Samia akaamua kuwatoa wote

Kwa kuwa humu JamiiForums ina watu kibao waliosoma naye na kufanya kazi pamoja watueleze kwa undani huyu mama kipi kinamsumbua

View attachment 2518634

USSR
Niliona dalili kama ana mlengo wa ki jpm hivi. Nikahisi wahuni watampiga vita. Naona inatokea.
Nahisi tu lakini kwa hakika simjui kiitikadi ni wa mlengo gani.
 
Waume zao watakuwa walikula kibogo si bure binti umevunja ungo jana kelele kila bar

USSR
Nakusemahe kwa kuwa u mlemavu wa akili.
JamiiForums-1270582057.jpeg
 
Mtikila na Filikunjombe hawakutoka Makete ni watu wa Ludewa
Jamaa hajui kuwa Makete na Ludewa ni wilaya mbili tofauti, halafu humo kuna wengi kazi yao kudandia stori za vijiweni na kuzileta humu, mtu hajui lakini utakuta anatiririka pumba au anawazungumzia watu utadhani anawajua kumbe kasikia stori za Kitambaa cheupe
 
🤣😅😆
 
Ushuhuda mzuri.
Kwanza bongo ukisimamia kweli unaundiwa zengwe.
Usiamini tuhuma hizi ni upotoshaji.

Ccm hawapendi watu wa kweli na wenye misimamo thabiti
Wanawake single mothers huwa watata kweli ,hata akizaliwa mtakatifu nyegezi sio poa
 
Mama Mnyalukolo wa Njombe baba Singasinga
Huyu ni mzaliwa wa Ludewa. Mume wake Mr Norman walitalikiana baada ya ugomvi wa muda mrefu akimtuhumu mkewe kuwa ni mchawi na kwamba huwa anatembea na nyoka kwenye handbag yake. Kifupi ni kwamba huyu mama ni mkorofi sana.
 
Back
Top Bottom