Kumezuka utata bungeni juu ya TFF kuwa jambo la Muungano au la! Baada ya wabunge kuomba muongozo kutokana na Majibu ya Nape Nnauye kuhusu mzozo uliopo Zanzibar Ndani ya ZFA viongozi kupelekana mahakamani ili hali Sheria za FIFA haziruhusu.
Kwa wenye uelewa na mambo yaliyo ya Muungano na Yasiyo ya Muungano tunaombeni tushee Idea please! TFF ipo ndani ya mambo ya Muungano au la?
alimpokea Samata na kwenda nea NigeriaSio ajabu kutojua hilo yeye hakuwahi kuwa waziri wa michezo ana mambo mengi mengine ya chama chake familia yake hivo ni kawaida sana
Hata TUMBA anapiga kwa ustadi mkubwaBoss wake ni mahiri kwenye cherahani
Kweli mkuu sasa naona nchi tunakoelekea kama Korea kaskazini ukinyima watu kupata habari ni udictor unanukianaanza kuona serikali ya jpm ikiwav na 0-hope,...
huku kulipana fadhila ndo linafikisha taifa pabayaa,..
nape alikuwa mstari wa mbela wakat wa kampeni za jpm,...tangu kuchukua 4m yakugombea hadi mwisho,..
actually huu uongoz w kulipana fadhila ndo unapeleka nchi pabaya,..
Naona wabunge wa upinzani wamelipinga hilo hadi bunge limeahirishwa kwa muda wa saa1Nape
Anatangaza kuwa TBC itakuwa inatangaza baadhi ya matukio ya Bunge
Lengo ni kubana matumizi.. Anasema gharama za kuendesha Bunge zimefikia 4Bln kwa Mwaka.
Anasema kutakuwa na kipindi maalum kitakachokuwa kinarushwa usiku kuanzia saa 4 hadi 5 Usiku.
Hawataki wananchi waone michango ya wabunge wao na hiyo ni mbinu chafu ya kuendelea kuibeba ccmHuyu Nape na Ndugai wao tatizo lao ni nini kweli mnafika sehemu mnaturudisha Nyuma tena miaka yote tunaona Bunge live sasa mnatuambia mtatulushia usiku mkisha edit eeeeh. Nini kinawashinda mkiwaambia wananchi watoe hata shiling moja kulipia ili bunge lirushwe live. Are we thinking in Future or Back wards Nchi hii vipiii mbona sioni Mustakabali ni upi twaenda nao kila kukicha matamko ya ajabu mmepania kuuuwa kabisa Tasinia ya HABARI.
Nani anamshauri Rais haya mambo
HahaaaaaaBoss wake ni mahiri kwenye cherahani
Naona wabunge wa upinzani wamelipinga hilo hadi bunge limeahirishwa kwa muda wa saa1
hahaaaaaaa daa!watu mna maneno si mchezo.Hata TUMBA anapiga kwa ustadi mkubwa