Waziri Nape Nnauye hajui maana ya TFF

Waziri Nape Nnauye hajui maana ya TFF

Nape ameshindwa kutaja kirefu cha TFF na kuita kuwa ni TANZANIA FOOTBALL ASSOCIATION na kusababisha muuliza swali na bunge zima kulipuka kwa kumzomea, hii ni aibu kwa waziri kushindwa kujua idara anazozisimamia na ndio sasa tunaanza kuona matunda ya Nape.

Je Lowassa alipokuwa anasema kwenye mikutano kadhaa ya kampeni pigia mbunge wa ccm na diwani wa ccm, mbona haikuwa hoja.
 
Kweli kabisa mkuu na mawaziri wa namna hiyo ndiyo wengi sana kwenye hili baraza
hii ni aibu sana kwa taifa na hata kwa ccm , kujua kucharaza gita pekee kisiwe kigezo cha kumpa mtu uwaziri bhana , mbona lokassa ya mbongo au diblo diballa pamoja na umahiri wao kwenye gita lakini hawajawahi kuwa hata makatibu kata ?
 
Je Lowassa alipokuwa anasema kwenye mikutano kadhaa ya kampeni pigia mbunge wa ccm na diwani wa ccm, mbona haikuwa hoja.
Ungeileta kipindi hicho ingekuwa hoja
 
hii ni aibu sana kwa taifa na hata kwa ccm , kujua kucharaza gita pekee kisiwe kigezo cha kumpa mtu uwaziri bhana , mbona lokassa ya mbongo au diblo diballa pamoja na umahiri wao kwenye gita lakini hawajawahi kuwa hata makatibu kata ?
Teeeeeeeeh teeeeeeeeh teeeeeeeeeh teeeeeh, wewe jamaa huwezekani
 
Nape ameshindwa kutaja kirefu cha TFF na kuita kuwa ni TANZANIA FOOTBALL ASSOCIATION na kusababisha muuliza swali na bunge zima kulipuka kwa kumzomea, hii ni aibu kwa waziri kushindwa kujua idara anazozisimamia na ndio sasa tunaanza kuona matunda ya Nape.
mara zote tumekuwa tunahangaika na kupigania vijana wapewe madaraka makubwa lakini wakipewa wanatufedhehesha sana , tukubaliane sasa kwamba tuendelee kuwaamini wazee , hii itasaidia kuepuka aibu zisizo za lazima .
 
Huo ni ushauri mzuri sana mkuu,yaani wakati anajibu nilijisikia ganzi kabisa
 
Je Lowassa alipokuwa anasema kwenye mikutano kadhaa ya kampeni pigia mbunge wa ccm na diwani wa ccm, mbona haikuwa hoja.
Hata sijui unatumia kiungo kipi kwenye kufikiri
 
Back
Top Bottom